Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafsiri ya maandiko kwa asiyeelewa anaweza akaitumia vibaya kupotosha piaNini cha kupotosha hapo wakati maagizo yenyewe mumeandikiwa kwa lugha nyepesi....
Huwezi kuchafua dini kwa ujinga wako.Ndio nasema bora wewe umekubali....
Hakuna kundi la kigaidi la waislamu hayo ni makundi ya wahuni mfadhili wao mkuu ni USA ili kuleta political instability sehemu zenye raslimali
.... eti magaidi wa kidini; we jamaa siku hizi unajitahidi sana kupunguza ukali wa maneno ila ujumbe unafika kwa uzito ule ule.Hawa ni waafrika ambao wanaamini kwamba wameelekezwa na 'mungu' wao muarabu kuchinja maskini Waafrika wenzao................
Marauding Boko Haram insurgents, Saturday, killed 10 farmers and abducted a few others in Mafa Local Government Area of the state.
Aside from this attack which occurred late afternoon in the fields between Bulakunkumma and Maiwa villages of Baram Karowa ward of the LGA, the insurgents also sneaked into Zannari ward, Maiduguri metropolitan part of the same LGA (Mafa) of the same day (Saturday) and squeezed out N4 million from a businessman (name withheld) to avoid abduction.
An impeccable source, Ya Bukar, who confirmed the attack to The PUNCH, gave the number of abductees as four, although another source, Goni Mohammed, has their number as nine.
āThey came roving across farms in search of food and cash,ā Bukar told The PUNCH on the phone, narrating further, āWhen the farmers said they couldnāt afford the amounts they requested for, they killed 10 of them, all men, and went away with four.ā
He said the insurgents killed the 10 farmers and abducted the four they could accost to ensure that they did not leave anyone to report their operations immediately to the security agents, who could launch an immediate manhunt for them.
Mohammed, the second source, however, said, āThe insurgents abducted nine farmers when they told them that they didnāt have any cash to give.ā
The state police are yet to issue any statement on the incidents.
Borno Police Command spokesman, ASP Sani Shatambaya, could not be immediately reached on the phone to confirm the incidents.
The PUNCH could recall that the state governor, Babagana Zulum, recently warned farmers in the rural communities against remaining in the fields beyond 5 p.m., when the insurgents usually begin roaming the outskirts for prey.
He had warned the troops securing the communities and the agro-rangers deployed to secure farmers in the fields to ensure that no farmer remained in the fields by 5 pm.
MSN
www.msn.com
We nawe hz habari zako kahuniri Mombasa huko.. ya Keroo huna habari nayo uko bize na mataifa ya watu sembe imefika ksh 1000 huko
Elewa hao Sio waislamuKwahiyo waisalmu wako radhi kuuwa waislamu wenzao kisa ushawishi wa usa??
Kwahiyo marehemu ilunga alipokihamasisha kuwaua wakristo naye alipangwa na marekani? Acha uongo wewe mtotoHakuna kundi la kigaidi la waislamu hayo ni makundi ya wahuni mfadhili wao mkuu ni USA ili kuleta political instability sehemu zenye raslimali
Ona unavyouliza maswali yakipuuzi kwani majambazi na makundi ya uhalifu kama wale wa kibiti silaha wakipata wapi?Kwani USA si anapotoshea humo humo Sasa hayo makundi silaha yanapata wapi Kama Sio michezo
hata waislamu nao wapo wasioelewa ndio wanaopiga wenzao wasiofunga ramadhaniTafsiri ya maandiko kwa asiyeelewa anaweza akaitumia vibaya kupotosha pia
ACHA UONGO. TENA UONGO WA KIZANDIKI NA KINAFIQ. BOKO HARAM HAWA NI WAPIGANIA UHURU WETU KAMA AL QAIDA, AL SHABAB n.k hawahusiani na Marekani. Marekani ni Makafir.Naomba nikurekebishe hapo kwenye BOLD. hao siyo Waislamu. Hilo ni genge la Kigaidi la Marekani na Ufaransa kama yalivyo magenge mengine ya ISIS, Al Shabab. Hayo magenge ni ya nchi za Magharibi ili kuhalisha uwepo wao Afrika na kwingineko ili kujichotoa rasilimali wakati nyie mkiwa bize na usalama wenu. Magenge hayo yote yanafadhiliwa na Marekani na Ulaya.
Hii sasa ndo point ya msingi.Ndio tunaua watu sijui utafanyaje sasaš
Boko haramu ni kikundi cha kigaidi cha kiislamu.Boko haram nawajua kama navyokujueni nyinyi wenye kutaka kueneza chuki na uchochezi wa kijinga.
Ndiyo maana nchi za waislamu wengi lazima kuwepo na vita.Ndio tunaua watu sijui utafanyaje sasaš
Huyu ni mashuhuri katika upumbavu huo wa propaganda za kutaka mataifa au viongozi fulani wasielewane au mataifa makubwa yapigane vita ya hana kwa hana kusema kweli huwa hajitambui - mchochezi na msema uongo kama son of Lucifer.Boko haram nawajua kama navyokujueni nyinyi wenye kutaka kueneza chuki na uchochezi wa kijinga.
Sasa Ilunga ni kundiKwahiyo marehemu ilunga alipokihamasisha kuwaua wakristo naye alipangwa na marekani? Acha uongo wewe mtoto