Magaidi wenye itikadi za kidini (Boko Haram), wachinja wakulima 10 na kuteka 9

.... eti magaidi wa kidini; we jamaa siku hizi unajitahidi sana kupunguza ukali wa maneno ila ujumbe unafika kwa uzito ule ule.
 
We nawe hz habari zako kahuniri Mombasa huko.. ya Keroo huna habari nayo uko bize na mataifa ya watu sembe imefika ksh 1000 huko
 
We nawe hz habari zako kahuniri Mombasa huko.. ya Keroo huna habari nayo uko bize na mataifa ya watu sembe imefika ksh 1000 huko

Mjumbe hauwawi jikite kwenye taarifa aliyoleta mleta taarifa.
 
Hao bokoharam ni wagonjwa wa akili wenye kumiliki silaha.
 
Hakuna kundi la kigaidi la waislamu hayo ni makundi ya wahuni mfadhili wao mkuu ni USA ili kuleta political instability sehemu zenye raslimali
Kwahiyo marehemu ilunga alipokihamasisha kuwaua wakristo naye alipangwa na marekani? Acha uongo wewe mtoto
 
ACHA UONGO. TENA UONGO WA KIZANDIKI NA KINAFIQ. BOKO HARAM HAWA NI WAPIGANIA UHURU WETU KAMA AL QAIDA, AL SHABAB n.k hawahusiani na Marekani. Marekani ni Makafir.
 
Boko haram nawajua kama navyokujueni nyinyi wenye kutaka kueneza chuki na uchochezi wa kijinga.
Huyu ni mashuhuri katika upumbavu huo wa propaganda za kutaka mataifa au viongozi fulani wasielewane au mataifa makubwa yapigane vita ya hana kwa hana kusema kweli huwa hajitambui - mchochezi na msema uongo kama son of Lucifer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…