Magaidi wenye itikadi za kidini (Boko Haram), wachinja wakulima 10 na kuteka 9

Tafsiri ya maandiko kwa asiyeelewa anaweza akaitumia vibaya kupotosha pia

Maandiko yenyewe yako wazi kwa lugha nyepesi, wengi mnayatumia kujilipua mabomu.
 
Huyu ni mashuhuri katika upumbavu huo wa propaganda za kutaka mataifa au viongozi fulani wasielewane au mataifa makubwa yapigane vita ya hana kwa hana kusema kweli huwa hajitambui - mchochezi na msema uongo kama son of Lucifer.

hehehe sheikh sikundika haya maneno kwenye hicho kitabu chenu

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Dini ya Amani ikitekeleza amani Yao. Ukikutana nao utasikia " mola akujaaalie neema uwe muislam" au ukivaa kanzu tuu ukikutana nao Wana ka kebehi Fulani ambacho ni kadogo ila kwa mtu mwenye kutafakari hawezi kurudia kuvaa vaxi hilo la middle na far east tena utasikia wanakubia " UMEPENDEZA" , Dini ya kuchinja hiyo inspenda kafara za damu kuanzia ya kuku hadi binaadamu
 
Ona unavyouliza maswali yakipuuzi kwani majambazi na makundi ya uhalifu kama wale wa kibiti silaha wakipata wapi?
Sasa haya makundi makubwa na yamedumu miaka ingekuwa ni rahisi yangeshambaratishwa
 
Mbona mistari kama iyo ipo kwenye old testament. Mbona una shrug off de fact kwamba ayo makundi huwa kuna political and economic goals za some elites zinazofund ayo makundi ,and them goals have no regards to common Africans/Arabs. Ni thefts tu.
Ni kweli hujui aya mambo na unajiona upo sawa kabisa.
Ma uncle Thom kama nyinyi, mnafanya some African countries kuendelea kuwa puppets
 

Political goals zipi, mkate waafrika wenzenu vichwa kisa hawaabudu huyo muarabu wenu halafu mseme political goals, upumbavu upi huu....tikisa kichwa ujisklizie sheikh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…