Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

Vyama vya upinzani vimekuwa kama Academy.

Kuna watu wanaenda vyama vya upinzani kujenga JINA.

Wakishapata JINA CCM inawanunua kwa UHAMISHO wa Gharama Kubwa ikiwemo RUSHWA PESA na VYEO !!
 
Mkuu, mbona unakuwa mwepesi wa kusahau?
 

Point yako ni ya kitoto mkuu, Kwan ukiweza kumkabili mtu ndio utaweza kuishika nafasi yake mimi kwa upande wangu awo wote uliowataja ni wachumia tumbo tu ila sipishani na ulichosema kuwa ndio viongozi wa upinzani wenye kuweza kumpa tumbo joto mkuu lakin kimitazamo ya kikubwa na kimalengo awo ni ovyo kabisa na ndio maana naungana na mtoa mada kwa 75%


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Brother ebu tuambie ukweli sasa maana jana tulishindwa comment sababu ilikuwa siku ya wajinga duniani ulichondika ni kweli umeamua stafu taluma yako ya habari
 
Brother ebu tuambie ukweli sasa maana jana tulishindwa comment sababu ilikuwa siku ya wajinga duniani ulichondika ni kweli umeamua stafu taluma yako ya habari
Yes jana kabla ya saa 4 ilikuwa nijiunge CCM na kustaafu rasmi mambo ya habari, lakini sikufanikiwa kumpata Polepole hivyo bado sijajiunga na bado sijastaafu.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…