Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

Yes jana kabla ya saa 4 ilikuwa nijiunge CCM na kustaafu rasmi mambo ya habari, lakini sikufanikiwa kumpata Polepole hivyo bado sijajiunga na bado sijastaafu.
P
😁😁😁😁 haya brother I wish all the best kwenye maisha ya siasa endapo utafanikiwa ila chonde chonde usitukbie uku ukijiunga kwenye siasa cause uzoefu unaonyesha wanasiasa wengi hapa JF wamezikimbia verified account zao so wanaingia kama siye tunaomba chonde chonde usipotee
 
Yes jana kabla ya saa 4 ilikuwa nijiunge CCM na kustaafu rasmi mambo ya habari, lakini sikufanikiwa kumpata Polepole hivyo bado sijajiunga na bado sijastaafu.
P
[/QUOTE
Ndo maana nilisema takuwa wa mwisho kuamini kama kweli P. Mayalla ndo kaamua yale aliyoyaandika jana.
Muda ndiyo muamuzi sahihi wa jambo!
 
Duh.. !.
Huyu jamaa ni mdogo wangu shule ya sekondari ya Ilboru, sisi tukiwa A level, dogo alikuwa O-Level.
Tukakutana tena Umoja House mimi nikiwa BHC yeye akiwa Uholanzi.

Nimekisikia kuzungu chake nikachoka!.
Kwenye the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, Zitto na Lissu pekee ndio wapinzani wanaoweza kumkabili Magufuli kwenye urais na rais Magufuli akasikia japo kijoto joto cha uchaguzi. Hivyo hao hawafai, then there's nobody else.

P
Absurd comparative.

Magufuli ni mwanasiasa wa kipekee kutokea katika sayari hii kulinganishwa na wanasiasa uchwara hao wanao tafuta umaarufu kitoto.
 
Yes jana kabla ya saa 4 ilikuwa nijiunge CCM na kustaafu rasmi mambo ya habari, lakini sikufanikiwa kumpata Polepole hivyo bado sijajiunga na bado sijastaafu.
P
Nilisema takuwa wa mwisho kuamini ile habari yako ya jana, nilikuwa sahihi.
Jambo lo lote lile lipatie muda ili kujiridhisha.
 
Nilisema takuwa wa mwisho kuamini ile habari yako ya jana, nilikuwa sahihi.
Jambo lo lote lile lipatie muda ili kujiridhisha.
No ile habari ni ya kweli ila tuu bado sijampata Polepole, ni kweli najiunga CCM na kuna jimbo nalivizia.
P
 
😁😁😁😁 haya brother I wish all the best kwenye maisha ya siasa endapo utafanikiwa ila chonde chonde usitukbie uku ukijiunga kwenye siasa cause uzoefu unaonyesha wanasiasa wengi hapa JF wamezikimbia verified account zao so wanaingia kama siye tunaomba chonde chonde usipotee
Mkuu Rejesho huru, kwa vile sijui huwa kinawatokea nini kuitumia jf kama ngazi tuu ya kupandia, lakini wakifikia huko, wanaikimbia jf.
Hivyo naombeni niungeni mkono, you never know.
P
 
Zitto nilifikiri angeweza kuifanya ACT kuchanua zaidi lakini naona anaenda kukwama. Mafanikio upande wa Zanzibar yamemlevya. Hakuna ajenda wala maono mapya zaidi naona ACT wanaenda kichadema ya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto mhuni na alichokisema uyo mzee kina ukweli usidhani kina msando wajinga kukikacha na siku zinavyoenda wanachama wengi watamuacha maana huu uchaguzi wa juzi kahakikisha anaweka sura mpya ambazo hazijui chama kilianzia wapi wale wote wanachokijua Chama na waligombea nafasi mbali mbali zitto alihakikisha hawashindi😁😁😁😁 sasa hilo kundi hilo limekasirika sana ndio hawa wanajitoa
 
Acheni propaganda, sizilipigwa kura wanachama wakaamua, au ulitaka Zitto ndio awapigie kampeni hao walioshindwa?.

Sumaye, Membe, Magaja wote hao wanalalamika vyama vyao havina demokrasia viongozi ndio wanapanga uongozi, Je nikweli?. Nakama nikweli akiunga juhudi hizo tofauti alizoziona huko hatoziona ccm.
 
Anaongea kwa ma confidence akichomeka broken English ndani. Angeongea Kiswahili tu.
 
Nn maana ya Demokrasia tuanzie hapo kwanza?uchaguzi umefanyika kwa uwazi na haki kabsa we ulitaka nan ashinde?achen siasa zenu uchwara za kilumumba
Zitto mhuni na alichokisema uyo mzee kina ukweli usidhani kina msando wajinga kukikacha na siku zinavyoenda wanachama wengi watamuacha maana huu uchaguzi wa juzi kahakikisha anaweka sura mpya ambazo hazijui chama kilianzia wapi wale wote wanachokijua Chama na waligombea nafasi mbali mbali zitto alihakikisha hawashindi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa hilo kundi hilo limekasirika sana ndio hawa wanajitoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We.kaka una maskhara sana ucngeweza kumkosa slowslow ktk ishu kubwa kama hyo c unajua anavyopenda makamera yule kiumbe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kujiunga tuu CCM, mtu unaweza jiunga shina lolote, mimi mwenyewe nilikuwa namtafuta Polepole ili kuiungia kwake kwa ajili ya kutokelezea kwenye makamera, lakini kutokana na Corona makamera hakuna, hivyo nasubiria Corona iishe ndipo nijiunge na shamshamra stahiki maana mimi nami ni alwatan wa kiwango changu fulani.
P
 
Mwanangu mdogo yuko prep2 aliniambia viongozi wa vyama vya upinzani wanasoma nao darasa moja sikuamini,leo aliyekuwa mwenyekiti wa act wazalendo kanithibitishia hilo, maganja alipokuwa Mwenyekiti zito alikuwa anafaa hata urais wa dunia, kakosa uenyekiti anatuambia anaweza uza hadi kunguni, ujinga mtupu.
 
Duh.. !.
Huyu jamaa ni mdogo wangu shule ya sekondari ya Ilboru, sisi tukiwa A level, dogo alikuwa O-Level.
Tukakutana tena Umoja House mimi nikiwa BHC yeye akiwa Uholanzi.

Nimekisikia kuzungu chake nikachoka!.
Kwenye the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, Zitto na Lissu pekee ndio wapinzani wanaoweza kumkabili Magufuli kwenye urais na rais Magufuli akasikia japo kijoto joto cha uchaguzi. Hivyo hao hawafai, then there's nobody else.

P
Mbona kama anaonekana umri umeenda sana, au ni sababu yupo rafu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom