Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Jamaa kajitoa.
Zito hawezi kuwa rais hata ajikate pumbu zake kwa kutambika hilo halitatokea apewe nchi. Viongozi nchini wanamchora tu na wanamsubiri kumlipua siku atatangaza anataka kugombea, ndiyo maana kila uchaguzi ukikaribia anahama chama ama atatafuta zengwe kugombana na viongozi wenzake. Huyu dogo anacheza tu na fursa huku akila ruzuku na kulala na wake za rafiki zake.