REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
ππππ haya brother I wish all the best kwenye maisha ya siasa endapo utafanikiwa ila chonde chonde usitukbie uku ukijiunga kwenye siasa cause uzoefu unaonyesha wanasiasa wengi hapa JF wamezikimbia verified account zao so wanaingia kama siye tunaomba chonde chonde usipoteeYes jana kabla ya saa 4 ilikuwa nijiunge CCM na kustaafu rasmi mambo ya habari, lakini sikufanikiwa kumpata Polepole hivyo bado sijajiunga na bado sijastaafu.
P
Yes jana kabla ya saa 4 ilikuwa nijiunge CCM na kustaafu rasmi mambo ya habari, lakini sikufanikiwa kumpata Polepole hivyo bado sijajiunga na bado sijastaafu.
P
[/QUOTE
Ndo maana nilisema takuwa wa mwisho kuamini kama kweli P. Mayalla ndo kaamua yale aliyoyaandika jana.
Muda ndiyo muamuzi sahihi wa jambo!
Absurd comparative.Duh.. !.
Huyu jamaa ni mdogo wangu shule ya sekondari ya Ilboru, sisi tukiwa A level, dogo alikuwa O-Level.
Tukakutana tena Umoja House mimi nikiwa BHC yeye akiwa Uholanzi.
Nimekisikia kuzungu chake nikachoka!.
Kwenye the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, Zitto na Lissu pekee ndio wapinzani wanaoweza kumkabili Magufuli kwenye urais na rais Magufuli akasikia japo kijoto joto cha uchaguzi. Hivyo hao hawafai, then there's nobody else.
P
Nilisema takuwa wa mwisho kuamini ile habari yako ya jana, nilikuwa sahihi.Yes jana kabla ya saa 4 ilikuwa nijiunge CCM na kustaafu rasmi mambo ya habari, lakini sikufanikiwa kumpata Polepole hivyo bado sijajiunga na bado sijastaafu.
P
huyo ni spent froce, achana naye songeni mbele na ukombozi kumwondoa dikiteita JiweJamaa kajitoa.
Sijui Zitto anawaokotaga wapi watu wa aina hii?!.Huyo jamaa yeye ndo hafai baada ya kukosa uongozi ndo kaja na povu lote hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
No ile habari ni ya kweli ila tuu bado sijampata Polepole, ni kweli najiunga CCM na kuna jimbo nalivizia.Nilisema takuwa wa mwisho kuamini ile habari yako ya jana, nilikuwa sahihi.
Jambo lo lote lile lipatie muda ili kujiridhisha.
Mkuu Rejesho huru, kwa vile sijui huwa kinawatokea nini kuitumia jf kama ngazi tuu ya kupandia, lakini wakifikia huko, wanaikimbia jf.ππππ haya brother I wish all the best kwenye maisha ya siasa endapo utafanikiwa ila chonde chonde usitukbie uku ukijiunga kwenye siasa cause uzoefu unaonyesha wanasiasa wengi hapa JF wamezikimbia verified account zao so wanaingia kama siye tunaomba chonde chonde usipotee
πππππMkuu Rejesho huru, kwa vile sijui huwa kinawatokea nini kuitumia jf kama ngazi tuu ya kupandia, lakini wakifikia huko, wanaikimbia jf.
Hovyo niungeni mkono, you never know.
P
Zitto mhuni na alichokisema uyo mzee kina ukweli usidhani kina msando wajinga kukikacha na siku zinavyoenda wanachama wengi watamuacha maana huu uchaguzi wa juzi kahakikisha anaweka sura mpya ambazo hazijui chama kilianzia wapi wale wote wanachokijua Chama na waligombea nafasi mbali mbali zitto alihakikisha hawashindiππππ sasa hilo kundi hilo limekasirika sana ndio hawa wanajitoaZitto nilifikiri angeweza kuifanya ACT kuchanua zaidi lakini naona anaenda kukwama. Mafanikio upande wa Zanzibar yamemlevya. Hakuna ajenda wala maono mapya zaidi naona ACT wanaenda kichadema ya sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni propaganda, sizilipigwa kura wanachama wakaamua, au ulitaka Zitto ndio awapigie kampeni hao walioshindwa?.Zitto mhuni na alichokisema uyo mzee kina ukweli usidhani kina msando wajinga kukikacha na siku zinavyoenda wanachama wengi watamuacha maana huu uchaguzi wa juzi kahakikisha anaweka sura mpya ambazo hazijui chama kilianzia wapi wale wote wanachokijua Chama na waligombea nafasi mbali mbali zitto alihakikisha hawashindiππππ sasa hilo kundi hilo limekasirika sana ndio hawa wanajitoa
Yes jana kabla ya saa 4 ilikuwa nijiunge CCM na kustaafu rasmi mambo ya habari, lakini sikufanikiwa kumpata Polepole hivyo bado sijajiunga na bado sijastaafu.
P
Zitto mhuni na alichokisema uyo mzee kina ukweli usidhani kina msando wajinga kukikacha na siku zinavyoenda wanachama wengi watamuacha maana huu uchaguzi wa juzi kahakikisha anaweka sura mpya ambazo hazijui chama kilianzia wapi wale wote wanachokijua Chama na waligombea nafasi mbali mbali zitto alihakikisha hawashindi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa hilo kundi hilo limekasirika sana ndio hawa wanajitoa
Kama ni kujiunga tuu CCM, mtu unaweza jiunga shina lolote, mimi mwenyewe nilikuwa namtafuta Polepole ili kuiungia kwake kwa ajili ya kutokelezea kwenye makamera, lakini kutokana na Corona makamera hakuna, hivyo nasubiria Corona iishe ndipo nijiunge na shamshamra stahiki maana mimi nami ni alwatan wa kiwango changu fulani.We.kaka una maskhara sana ucngeweza kumkosa slowslow ktk ishu kubwa kama hyo c unajua anavyopenda makamera yule kiumbe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama anaonekana umri umeenda sana, au ni sababu yupo rafu?Duh.. !.
Huyu jamaa ni mdogo wangu shule ya sekondari ya Ilboru, sisi tukiwa A level, dogo alikuwa O-Level.
Tukakutana tena Umoja House mimi nikiwa BHC yeye akiwa Uholanzi.
Nimekisikia kuzungu chake nikachoka!.
Kwenye the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, Zitto na Lissu pekee ndio wapinzani wanaoweza kumkabili Magufuli kwenye urais na rais Magufuli akasikia japo kijoto joto cha uchaguzi. Hivyo hao hawafai, then there's nobody else.
P