Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

Vipi kuhusu inteegrity yake, je anachokisema kinatoka moyoni au kashawishiwa baada ya kushindwa uchaguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wa integrity yake hapo hakuna kitu kabisa, hiyo ni totally empty shell. Wanasema wako sokoni kwenye majadiliano kuangalia watajiunga chama gani, kiukweli chama chochote kitakacho mchukua mtu kama huyu ni kulamba garasa.
P
 
Sijui Zitto anawaokotaga watu wa aina hii?!.
P
Sio kauli uzuri toka kwako Mkuu Zitto sio Malaika Huyo ndugu yetu sio kichaa. Mara nyingi nmekuwa nikiwaeleza ndugu zetu chadema Pia kupitia Dr Slaa lipo pia la kujifunza toka kwake vyvyote vile pamoja na mapungufu yetu lipo somo la kujifunza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli huyu Maganja (a.k.a) Manjemu.
 
Nimekuwa mwepesi wa kusahau nini?
P
Ulichokuwa unakisema Jana kwamba hutsonekana tena hapa, halafu Jana nimetuma sms zangu kutaka kuhitaji hizo bidhaa ulizokuwa umetuwekea hapa,hakuna hata SMS moja uloijibu, Kaka vipi?
 
Kwa upande wa integrity yake hapo hakuna kitu kabisa, hiyo ni totally empty shell. Wanasema wako sokoni kuangalia watajiunga chama gani, kiukweli chama chochote kitakacho mchukua mtu kama huyu ni kulamba garaza.
P
Hapana kabisa hata kama ni empty shell huyu mzee wamemfanyia mbaya sana. Kahangaika sana na Zitto na kukijenga Act,Zitto anataka apate wabunge wengi pemba kwa mgongo wa Maalim ili apate ruzuku ndefu. Lakini safari hii hafanikiwi.
 
Hapana kabisa hata kama ni empty shell huyu mzee wamemfanyia mbaya sana. Kahangaika sana na Zitto na kukijenga Act,Zitto anataka apate wabunge wengi pemba kwa mgongo wa Maalim ili apate ruzuku ndefu. Lakini safari hii hafanikiwi.
Kwenye uenyekiti yeye alikuwa acting tuu, tatizo ni mtu ukiwa hustahili ukionjeshwa unaona tamu unatamani uwe wewe. Sasa wanapojitokeza watu wenye uwezo zaidi yako, una mind, unakasirika na unasusa.

Ndivyo ilivyotokea kwa Dr. Slaa, amini nakuambia angegombea Chedema asingepata hata nusu tuu ya kura za Lowassa. Lowassa ni mtaji.

Maalim Seif kwa ACT Wazalendo ni mtaji, Heshima ya Kiafrika, mgeni akija mwenyeji hukaa pembeni bila kinyongo.
P
 
Naunga mkono hoja ila lazima lazima Kaka ujifunze kuheshim maoni yetu pia Mh Zitto Maalim Seif wapo tayari kufanya lolote chchote kwa Ajiri ya kupata madaraka kilichopo ss hv kwenye upinzani nchini kwetu ni mbio za kupata japo Mabaki ya Cake ya taifa na kwenye mbio hizi mpk ss hv Mh Zitto tunaweza kusema ndio mshindi akifatiwa na Mh Mbatia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umemuelewa vizuri, yeye hazungumzii nani anaweza kumpa ka joto Magufuli. Anacho maanisha ni uwezo na tabia ya Zitto (kutafuta masrahi binafsi na umaarufu). Kwa tabia hizo hawezi kuwa kiongozi mzuri (raisi).

Swala la kumpa joto Magufuli, inategemea na aina ya wapiga kura, je ni bora? Wanaelewa wanachochagua au ni mihemuko tuu?
 
Kuna jambo la kushangaza sana kwetu na siasa
Tunahofia viongozi kwamba atatupoteza
Hv kuna ubaya gani tukibadilisha muundo wa serikali na kuona namna salama ya kukwepa siasa na uongozi wa hovyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…