Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Jamaa kajitoa.
Duh, hata ajikate nanihii zake? Kazi ipo.Zito hawezi kuwa rais hata ajikate pumbu zake kwa kutambika...
Ni kweli anaweza akawa mtaji ila upepo wa kisiasa umebadilika sana hata huko visiwani na bara kwa ujumla. Kuna mabadiliko sana maana ndani ya miaka minne CCM wamefanya mambo makubwa sana. Alafu kashfa ya ufisadi ambayo iliwachafua wamejitahidi kuifuta. Kwa hiyo anaweza asilete impact kubwa kama unavyotarajia.Kwenye uenyekiti yeye alikuwa acting tuu, tatizo ni mtu ukiwa hustahili ukionjeshwa unaona tamu unatamani uwe wewe. Sasa wanapojitokeza watu wenye uwezo zaidi yako, una mind, unakasirika na unasusa.
Ndivyo ilivyotokea kwa Dr. Slaa, amini nakuambia angegombea Chedema asingepata hata nusu tuu ya kura za Lowassa. Lowassa ni mtaji.
Maalim Seif kwa ACT Wazalendo ni mtaji, Heshima ya Kiafrika, mgeni akija mwenyeji hukaa pembeni bila kinyongo.
P
Hitimisho lako mbona limekuja kirahisa na mapema kiasi hicho! Unayapuuza yote aliyasema mzee mwenye mvi za kutosha na tena msomi kwa kuishia kusema ni wivu, seriously!Kwenye uenyekiti yeye alikuwa acting tuu, tatizo ni mtu ukiwa hustahili ukionjeshwa unaona tamu unatamani uwe wewe. Sasa wanapojitokeza watu wenye uwezo zaidi yako, una mind, unakasirika na unasusa.
Ndivyo ilivyotokea kwa Dr. Slaa, amini nakuambia angegombea Chedema asingepata hata nusu tuu ya kura za Lowassa. Lowassa ni mtaji.
Maalim Seif kwa ACT Wazalendo ni mtaji, Heshima ya Kiafrika, mgeni akija mwenyeji hukaa pembeni bila kinyongo.
P
Duh.. !.
Huyu jamaa ni mdogo wangu shule ya sekondari ya Ilboru, sisi tukiwa A level, dogo alikuwa O-Level.
Tukakutana tena Umoja House mimi nikiwa BHC yeye akiwa Uholanzi.
Nimekisikia kuzungu chake nikachoka!.
Kwenye the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, Zitto na Lissu pekee ndio wapinzani wanaoweza kumkabili Magufuli kwenye urais na rais Magufuli akasikia japo kijoto joto cha uchaguzi. Hivyo hao hawafai, then there's nobody else.
P
How can a bigoted understand the mind of a genius! Huyo mzee yupo vizuri sana kichwani! Anachokisema kina mantiki, hakipaswi kupuuzwa!Sijui Zitto anawaokotaga wapi watu wa aina hii?!.
P
Sasa hivi wasukuma wanarudi kwa mzee baba.....Unajua tena ndugu zetu walivyokuwa na ukabila.Jamaa kajitoa.
Hakuna asiyemchumia tumbo hata jiwe anangalia maisha yake kwanzaPoint yako ni ya kitoto mkuu, Kwan ukiweza kumkabili mtu ndio utaweza kuishika nafasi yake mimi kwa upande wangu awo wote uliowataja ni wachumia tumbo tu ila sipishani na ulichosema kuwa ndio viongozi wa upinzani wenye kuweza kumpa tumbo joto mkuu lakin kimitazamo ya kikubwa na kimalengo awo ni ovyo kabisa na ndio maana naungana na mtoa mada kwa 75%
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaa jamaa mwenyewe Zitto ndio alimuokota jalalani na kumfanya kuwa mwenyekiti wa chamaKwa upande wa integrity yake hapo hakuna kitu kabisa, hiyo ni totally empty shell. Wanasema wako sokoni kwenye majadiliano kuangalia watajiunga chama gani, kiukweli chama chochote kitakacho mchukua mtu kama huyu ni kulamba garasa.
P
mzee mbona wewe ndio unaonekana mkabila kwa kuanza kushikwa na hisia hizo, ,kwanza umejuaje huyu ni msukuma?Sasa hivi wasukuma wanarudi kwa mzee baba.....Unajua tena ndugu zetu walivyokuwa na ukabila.
Kwa upande wa integrity yake hapo hakuna kitu kabisa, hiyo ni totally empty shell. Wanasema wako sokoni kwenye majadiliano kuangalia watajiunga chama gani, kiukweli chama chochote kitakacho mchukua mtu kama huyu ni kulamba garasa.
P
Kwenye uenyekiti yeye alikuwa acting tuu, tatizo ni mtu ukiwa hustahili ukionjeshwa unaona tamu unatamani uwe wewe. Sasa wanapojitokeza watu wenye uwezo zaidi yako, una mind, unakasirika na unasusa.
Ndivyo ilivyotokea kwa Dr. Slaa, amini nakuambia angegombea Chedema asingepata hata nusu tuu ya kura za Lowassa. Lowassa ni mtaji.
Maalim Seif kwa ACT Wazalendo ni mtaji, Heshima ya Kiafrika, mgeni akija mwenyeji hukaa pembeni bila kinyongo.
P
Wewe humfahamu, tuachie sisi tunayemfahamu....Kwani huoni wimbi la wasukuma wanaounga mkono juhudi??mzee mbona wewe ndio unaonekana mkabila kwa kuanza kushikwa na hisia hizo, ,kwanza umejuaje huyu ni msukuma?