Magari 10 yanayonunuliwa sana na Watanzania

Johnny Sins

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
2,537
Reaction score
3,873
Ukweli ni kwamba tunaelekea kuufunga mwaka 2019 na time kama hii tunakaribia kukutana na hesabu nyingi za kufunga na kujiandaa kwa mwaka unaofuata. Sasa wakati ukiwaza bajeti ya mwakani pengine na mipango ijayo ni muhimu kujua wenzako wengi wamepitia wapi.

Watanzania wengi kwa mwaka huu inaonekana wamechagua gari ambalo halitumii sana mafuta, gharama yake kwenye kulitunza ikiwemo service ni ndogo lakini jingine muhimu ni kwamba linahimili shida za barabara mbovu.

Hii hapa chini ni orodha ya magari 10 yanayochaguliwa na kununuliwa kwa wingi na Watanzania.


10. Subaru forester


9. Subaru impreza


8. Toyota Raum


7. Toyota Ractis


6. Toyota Corolla Spacio


5. Toyota Premio


4. Toyota Alphard


3. Toyota Harrier


2. Toyota Crown


1. Toyota IST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…