Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Range rover sport hadi kufika dar port ina cost tshs ngapi?
Inategemea ni ya mwaka gani na ina options gani.

Mpya ya 2017 ina bei MSRP $65,650. Hapo hujasafirisha wala kulipia kodi ya TRA ya Magufuli ambayo watakuambia hii gari ya anasa tunataka uilipie kodi kama unainunua upya.

Hii hapa valuation ya used la mwaka 2014.

Gari la 2017 brand new MSRP ni $65,650 la 2014 wao wameli value at $ 72,154.
Total Import Taxes (USD): 46,747.69

Hiyo valuation na kodi huko kwa huku US nanunua karibu mawili hayo.

Nilivyoondoka bongo sikukosea.

Halafu Range Rover zinakongoroka sana. Tulikuwa nayo home zamani Vogue 4.0 ilikongoroka kinini sijui, spare ikabidi mpaka Nairobi. Sijui kama siku hizi wame improve.

USED MOTOR VEHICLE VALUATION CALCULATOR

You are viewing Valuation Details of a 2014 LANDROVER RANGE ROVER SPORT - SUV. Click here for another Valuation
Reference Number: 1617228702
Make: LANDROVER
Model: RANGE ROVER SPORT
Body Type: SUV
Year of Manufacture: 2014
Country: EUROPE
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2501 CC & ABOVE
Customs Value CIF (USD): 72,154.58
Import Duty (USD): 18,038.65
Excise Duty (USD): 9,019.32
Excise Duty due to Age (USD): 0.00
VAT (USD): 18,174.48
Custom Processing Fee (USD): 432.93
Railway Dev Levy (USD): 1,082.32
Total Import Taxes (USD): 46,747.69
Total Import Taxes (TSHS): 104,518,021.37
Vehicle Registration Fee (TSHS): 540,000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 105,058,021.37
 
Sidhani....maana C class ni kama Toyota Carina ....ndo gari ya kimasikini katika Benz family ndo maana Kila kona ya Tanzania utakutana nayo......
Benz C Class siwezi kununua.

Labda kama ni kununua kumzawadia mtoto wa miaka 16 anayeanza kujifunza kuendesha gari na anataka kujifunzia Benz.

Ukiniambia CLS 550 kama ya Ray Donovan hapo maneno mengine.

liev-schrieber-is-all-about-style-in-his-mercedes-cls-550-85714_1.jpg
 
Kuna jirani yangu ana 745li kila nikimuona anapita nywele zina nisimama japo mara zote nanyoa kipara.
December 2016 engine light ya BMW SUV langu iliwaka, nikalipeleka kwa local BMW dealer, wakanipa 2017 745li nilitumie wakati wanaliangalia SUV langu.

Nilivyokuja nalo home watu wakawa wanataka lile SUV lichukue muda mrefu likitengenezwa ili walifurahie 745li.

Bahati nzuri au mbaya wakawa wameshamaliza kuliangalia SUV langu katika siku moja tu, wakaniambia niende kulichukua.
 
Umetisha!!!!

Ndo urithi wa braza nini huo?

[emoji23]
 
Umetisha!!!!

Ndo urithi wa braza nini huo?

[emoji23]

Hahahaha.

Halafu brother ujue alikuwa hajazibukia magari kabisa. Anaweza kukaa na gari kali park hajaendesha mwezi.

Alikuwa ananunulia washua tu bongo, yeye mwenyewe anahangaika na ma train ya Gotham tu.

Mwenyewe akisema hataki kuacha a large carbon footprint na kwamba a civilized society ought to have an adequate enough public transportation system.

Yule jamaa alikuwa mkomunisti fulani hivi.
 
Nina BMW SUV hapa. Sijaona gharama zake. Labda kwa sababu lipo kwenye warranty na maisha yangu kiaina fulani ni ya gharama (kwa mtizamo wa Mtanzania "wa kawaida", this is a relative matter) kwa hiyo naona kawaida.Majuzi nimebadili matairi mawili (run-flat) nimelipa $620, including tax.

Unaweza kupata matairi kwa nusu ya bei hiyo kama huna run flat, kwa hiyo hiyo bei ya juu isikutishe sana.

Sasa kama hujawa na uwezo kama huo, na unataka kununua tu BMW au Benz uonekane, lazima uone kizunguzungu.

Tena kwa sasa nimelichoka nasubiri lichoke kidogo tu nichukue Porsche Macan S au Range Rover Sport.

Maisha mafupi, make money, spend money.

cc Nyani Ngabu johnmlay

Dah!

Mimi na hiki ki Honda Civic changu cha mwaka '99 nikikusoma hivi nanyong'onyea kabisa aisee.

Natamani walau hata ningekuwa ndugu yako!
 
Dah!

Mimi na hiki ki Honda Civic changu cha mwaka '99 nikikusoma hivi nanyong'onyea kabisa aisee.

Natamani walau hata ningekuwa ndugu yako!
Wewe huwezi kuwa na Honda Civic ya 99. Hizo gari za kina Warren Buffet fulani hivi.

We baller umenunua kisiwa nje ya Dar na ukifika ATM aliye nyuma yako bora ageuze tu kwa sababu unamaliza hela zote za ATM.

Honda Civic ya 99 unatusanif tu hapa.
 
Hahahaha.

Halafu brother ujue alikuwa hajazibukia magari kabisa. Anaweza kukaa na gari kali park hajaendesha mwezi.

Alikuwa ananunulia washua tu bongo, yeye mwenyewe anahangaika na ma train ya Gotham tu.

Mwenyewe akisema hataki kuacha a large carbon footprint na kwamba a civilized society ought to have an adequate enough public transportation system.

Yule jamaa alikuwa mkomunisti fulani hivi.

Halafu Maserati zile SUV zao vipi...huna mpango wa kuchukua?

Hata Bentley nao naona wametoa SUV zao pia.

Siku ukiamua kuchukua mojawapo ya hizo nitonye basi....
 
Wewe huwezi kuwa na Honda Civic ya 99. Hizo gari za kina Warren Buffet fulani hivi.

We baller umenunua kisiwa nje ya Dar na ukifika ATM aliye nyuma yako bora ageuze tu kwa sababu unamaliza hela zote za ATM.

Honda Civic ya 99 unatusanif tu hapa.

Ebana sitanii kabisa yaani.

Kwanza hapa nilipo nina mpango wa kukauza ili niwe natumia Uber tu.

Uber everywhere, you know.

Nimepiga mahesabu nikagundua kutumia Uber ni cheaper zaidi ya ku own hata ka Civic ka '99.

Kuanzia sasa ni mwendo wa Uber tu....iwe grocery shopping....iwe kwenda boksi...kwenda gym....ni Uber tu.

Well...sometimes labda na Lyft kidogo 😀
 
Halafu Maserati zile SUV zao vipi...huna mpango wa kuchukua?

Hata Bentley nao naona wametoa SUV zao pia.

Siku ukiamua kuchukua mojawapo ya hizo nitonye basi....
Nimeona Bentayga. Ujue kuna tofauti kati ya luxury na ultra-luxury.

Bentley-Bentayga-1.jpg

I can do luxury, not so sure about ultra-luxury.

Haya magari ni second mortgage kwa sie ambao hatujauza ngada, kushinda lotto wala kucheza NBA.

I went to school and know about "oportunity cost", asset vs liability etc.

I try to live a little, not to break the bank!
 
Ebana sitanii kabisa yaani.

Kwanza hapa nilipo nina mpango wa kukauza ili niwe natumia Uber tu.

Uber everywhere, you know.

Nimepiga mahesabu nikagundua kutumia Uber ni cheaper zaidi ya ku own hata ka Civic ka '99.

Kuanzia sasa ni mwendo wa Uber tu....iwe grocery shopping....iwe kwenda boksi...kwenda gym....ni Uber tu.

Well...sometimes labda na Lyft kidogo 😀
Uber trip moja inaweza kuku cost $45 wakati ki Civic hapo una mafuta ya wiki mbili?
 
Uber trip moja inaweza kuku cost $45 wakati ki Civic hapo una mafuta ya wiki mbili?
Aah si nailia timing tu wakati hakuna surge....mjini inabidi uwe mjanja bana[emoji3]

Hata hivo huwa sina trip ndefu ndefu...nyingi ni short distance tu.
 
Aah si nailia timing tu wakati hakuna surge....mjini inabidi uwe mjanja bana[emoji3]

Hata hivo huwa sina trip ndefu ndefu...nyingi ni short distance tu.
Ukomunisti huo. I thought it was about the land of the free. Hivi Uber unaweza hata kucheza muziki unaoutaka?
 
Wewe huwezi kuwa na Honda Civic ya 99. Hizo gari za kina Warren Buffet fulani hivi.

We baller umenunua kisiwa nje ya Dar na ukifika ATM aliye nyuma yako bora ageuze tu kwa sababu unamaliza hela zote za ATM.

Honda Civic ya 99 unatusanif tu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lana matatizo ya kukimbia sana hasa ukiwa barabara ya kimara kwenda ubungo mataa
 
Nikimuona mtu anaendesha brand new BMW x5,Mercedes s class, range Rover Sport au lexus kama Ile ya bashite bongo huwa namheshim sana. Hapa tz import costs ni kubwa sana almost sawa na kununua range 2,ntaendelea kumiliki used tu toka beforward Japan.
 
Hakuna ubaya kwenye gari hizo ulizotaja lakini tatizo kubwa ni kasumba tuliyojijengea sisi waswahili kuwa hizo ni gari za gharama.....mie niliwahi kuwa na C-Class kompressor toka 2007-2012 sikuwahi hata kubadili fan belt wala plague. Na kuihudumia hiyo chuma ni cheap kuliko hata mark x.
Etiiiiiii
Kwa siku ulikua watumia wese la beii gani
 
Back
Top Bottom