Magari au vitanda vinavyotembea?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,421
Mpaka miaka ya hivi karibuni mambo ya uchumba yalikuwa hayawezi kufanyika bila ya kuwepo wazazi na familia zote mbili. Mitoko (dates) mingi na kualikana ilifanyika majumbani wakiwepo wanafamilia wote.

Kujitokeza kwa familia nyingi za kipato cha kati na vijana wengi wa umri wa kati kumiliki magari kumesaidia sana kuharibu utaratibu mzuri wa mitoko ya kimapenzi na uchumba kwa ujumla.

Magari si tu kwamba yamesababisha mitoko isifanyike majumbani, lakini pia yamesababisha ifanyike bila kuwashirikisha wazazi. Magari siku hizi yamebadilishwa kuwa vitanda vinavyotembea vinavyotumika kufanyia ngono kiholeala wakati wa mitoko.

Vijana wadogo sio kwa hapa nchini tu bali hata huko katika nchi za magharibi na ulaya wamejinyakulia uhuru mkubwa mno kutoka kwa wazazi wao, na kuzipondoponda chini mila na desturi ambazo ziliweka misingi imara katika kulinda maadili ya uchumba kwa vijana.

Lakini pia Teknolojia mpya na matumizi yake mabaya nayo imechangia kwa kiasi kikubwa kusambaratisha mila na desturi zetu zilizokuwa zikilinda maadili yetu. Simu na mitandao ya mawasiliano, ni moja ya mabadiliko yaliyotufikisha hapa. Siku hizi vijana wamegeuza mitandao kama vijiwe vya kukutania na kutongozana kimya kimya.

Ule uhakika wa mzazi kumuona binti yake akiwa nyumbani ametulia akiamini yuko salama, ni kujidanganya bure, kwani wakati mzazi akiamini hivyo binti kwa kutumia teknolojia ya intenet inayopatikani kirahisi katika simu za mkononi anatongozwa na kufanya miadi ya kufanya ngono mbele ya wazazi wake na wasijue.

Siku hizi maadili ya kumpata mwenza yamewekwa kisasa zaidi, zile taratibu za kuchunguza familia atokako mke au mume, kwa ajili ya kujiridhisha kama binti anaolewa katika familia sahihi, au kijana wa kiume anaoa katika familia sahihi, hazipo na badala yake vijana wa siku hizi wanachukuana tu, na ndio maana ndoa hazidumu, watoto hawana adabu, kutoka nje ya ndoa kusiko na simile, na kila aina ya uchafu, ili mradi fujo tu.

Je wazazi nini Kifanyike?

Weka mtazamo wako hapa kuokoa kizazi hiki cha DOT COM.

AshaDii, Kongosho, BADILI TABIA, snowhite, Fixed Point, gfsonwin, cacico, Kaunga, Preta, ICHANA, MankaM, KOKUTONA, Asprin, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Ruttashobolwa, Kaizer, watu8, The Boss, Nyani Ngabu, Kiranga, Thomas Odera, KIBANGA, Elli, ayanda, mayenga, Eiyer, Ennie, sister, Ennie, Paloma, Nivea, Neylu
 

Attachments

  • Car-Sex.jpg
    22.4 KB · Views: 752
Last edited by a moderator:
kwenye gari kuna mikao mizuri hasa ule wa wheelbarrow style....loading error....
 
Ni kweli mambo ya tekelinalokujia (mitandao) yamefanya maadili kuporomoka na mila na desturi zetu kuteketekea kabisa
vijana wa kisasa wmeharibika kabisa yaani njiani ninapotembea nakutana vitoto vijana vkipiga picha ili kuweka kwenye fb na sehemu ingine kwa mtandao ili kuwavutia wenzao kuwa nao wako katika ulimwengu wa kiutandao, wengine wanafanya kimakusudi tu kupiga picha za ovyo (mnazijua wenyewe hapa sitaki kuweka lugha tata) ili mradi tu nao wamo hiyoyote ni kimkumbo tu na mwishoe wananasa kwenye wimbi la dhambi ya uasherati hakuna mtu mzima walio katika madaraka anayewaonya wala kuwaasa wanavyofanya hivyo isitoshe wako wazazi wengine wanafurahia sana kuona watoto wao wakifanya hivyo kwao wanadai ni kwenda na wakati wakati wanajidanganya nafsi zao na kuelta maangamizi kwa kizazi chetu ambacho ni taifa la kesho kama si leo?

Cha kufanya baba ngina (masharubu)
kuongea nao watoto wetu kwa upendo na amani ili waone wanachofanya si chema wasiipende kuiga kila aina ya kitu kinachofanyika mamtoni bali waige vile vizuri na vibaya waachane navyo vinaporomosha maadili ya mwafrika kwani hatutakuwa tena na taifa ilitakuwa ni uozo tu kama ule wa sodoma na gomora ambapo Mungu aliingilia kati na kuangamiza ndipo likazaliwa taifa teule jipya lisilo na mawaaa.
 
Hamna jinsi unaweza ikuza hiyo picha kaka Mtambuzi au kama unambadala yake.
 
Last edited by a moderator:
Ku du kwenye gari, yataka moyo.

Hii hufanywa sana na watu wazima haswa kwenye parking spaces za maofisini...

Watu huenda ghorofa ya juu kwenye slot ya mwisho kabisa wakati wa lunch time, na huko hufanya mambo yao pasipo wasiwasi wowote.
 
Ku du kwenye gari, yataka moyo.

Kama siku ile. Sijui nini kilitutokea.

Afu mwambie Mtambuzi thread kama hii asubiri mpk kina Matesha na Ngina wamalize masomo. hatuchelewi kugoma kulipa ada tukitafakari sana.
 
Last edited by a moderator:
Hii hufanywa sana na watu wazima haswa kwenye parking spaces za maofisini...

Watu huenda ghorofa ya juu kwenye slot ya mwisho kabisa wakati wa lunch time, na huko hufanya mambo yao pasipo wasiwasi wowote.

Naenda kumwambia shemeji yako aache kazi awe mama ntilie.
 
Mtambuzi, wajua malezi kw sasa yamekuwa magumu sana, si kwa vijana wa kiume na wala wa kike, kotekote hali ni mbaya, jamaa haingalii kabisa watoto wanavyokuwa, wewe ukiwa unawaangalia wa kwako wakue vizuri lakini upande wapili unaharibu wawenzio, na wenzio nao wanafanya hivyo upande wako....ni mbaya sana hii...

hata pakukimbilia hakuna, viongozi wa dini ndio wachafu kupindukia hakuna la mnadi swala wala la mpiga kengele....
kila mtu afe kivyake ndio ilivyobakia...
 
Last edited by a moderator:
Aisee kuna uwanja wa mpira huku mtaani kwetu ukipita mida ya saa moja lazima kuna gari 2 au 3 zimepaki muda sijui ndio hayo mambo huwa yanaendelea!!
 
Watoto wangu bado wadogo na kila siku ninawaza itakuwaje watakapokua and its not long kabla hawajaxogea huko. Ingawa bado ni wadogo under 6 ujuzi wao wa computer na simu ni wa hali ya juu sipati picha wakiwa teenagers watakuwa na ujuzi kiasi gani.

Nadhani wazazi tuna jukumu la kuwakuza watoto wetu kwa kuwajengea confidence, mtoto mwenye ujasiri ataonyesha imani katika uwezo wake. Ujasiri kama huu hukua na kukoamaa kwa muda mrefu lakini unategemea sana mazingira na watu wanaomzunguka mtoto huyo. Je wewe mzazi una confidence ya kutosha kuwalea watoto wako katika mazingira ya unconditional love, mazingira yanayowaruhusu kukua kwa kujithaminini na kujiheshimu

Watoto wenye confidence wana uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi wakitumia reasoning yao wenyewe ktika kutatua matatizo na hata wakati wa kujizuia au kujiepusha na peer pressure. Mtoto kama huyu anafanya maamuzi yake for the right reasons na sio kwa sababu fulani amefanya, hawaangalii matarajio au idhini kutoka kwa wengine.

Watoto mwenye confidence mara nyingi watakuwa na maadili ya hali ya juu, uadilifu, nidhamu na uwezo wa kujitawala ambavyo husababisha hisia za kujithamini na uwezekano wa kujiweka katika indecent situations unapungua kuliko kwa mtoto ambaye hajiamini.

Kumfuatilia na kumdhibiti sana mtoto mara nyingi hakusaidii, kadri miaka inavyokwenda watoto wana device new means za kuhepa macho na masikio ya wazazi. Lakini simaanishi mtoto asifuatiliwe, wakati mwingine this is the only way you will get to know what your kid is upto.

Muhimu kabisa wazazi tuwaombee watoto wetu.
 
Kwa wewe yataka moyo kwa vijana wa kisasa ndiyo mpango mzima Kongosho

Ujana maji ya moto, acha niendelee kuwa baridi

Hujawahi?

Niazime basi gari? Nitafanyiaje juu ya baskeli?

Sitasahau siku nilijaribu kwenye ka VITZ.....basi mguu uliingia kwenye stelingi ukanasa huku unaponyeza honi mfululizo....mbaya zaidi tulikua watupu...weee......kama sio tinted ingekua balaa maana watu alishaanza kuja.

Unawezaje kuvua nguo zote? Mlifurahia sasa au mradi tu mmefanya?

Hii hufanywa sana na watu wazima haswa kwenye parking spaces za maofisini...

Watu huenda ghorofa ya juu kwenye slot ya mwisho kabisa wakati wa lunch time, na huko hufanya mambo yao pasipo wasiwasi wowote.

Mid life crisis hii, Mwenyezi niepushe

Kama siku ile. Sijui nini kilitutokea.

Afu mwambie Mtambuzi thread kama hii asubiri mpk kina Matesha na Ngina wamalize masomo. hatuchelewi kugoma kulipa ada tukitafakari sana.

Yaani waweza chapa mtoto hata kabla hajakosea, majanga majanga.

inabd usiwe bonge halaf salama zaidi kama mmepaki nyumbani.

Sasa mie ni kimbao mbao wa kg 98, mtu mwenyewe ana vits, labda tuegemee kwenye gari kwa nje.

Lakini, mbona chumbani ni raha tu, mtu unajiachia bila hofu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…