mkuu
mtambuzi maadili yameanza kumong'onyoka tangu zamani ila ilikuwa usiri mkubwa. Ukiuliza hapa ni wanawake wangapi waliolewa na usichana wao utawakuta wachache hii inamaanisha michezo hii waliianza zamani kwa sababu ya usiri mkubwa ndio maana ilonekana ina maadili jamii ya zamani katika uchunguzi wangu niligundua wengi wa wanawake wa kizamani ambao ndio kina mama wa sasa walipoteza usichana wao kwa wajomba ndugu wa karibu au majirani huu ni ukweli usiopingika ila ilikuwa kuna usiri wa hali ya juu ilikuwa wakimaliza ku do wakitoka hapo ni heshima kwa kwenda mbele hata michepuko zamani ilikuwepo ila kulikuwa na usiri mkubwa baina ya watu wanaochepuka. Ila siku hizi imeonekana na kulaumiwa jamii imeharibika kwa sababu usiri hakuna mtu akichepuka na mke wa mtu ni kujitangaza mtu akitoka na mwanamke ni kujitangaza kwa marafiki vijana wa siku hizi hawaogopi kuongozana na mwenza wake yaani usiri hakuna. Ndoa za siku hizi ni ndoa jina mtu asipohudumiwa vizuri ni kutangaza tofauti na zamani.
Mkuu
mtambuzi tofauti ya watoto wa siku hizi na wazamani ni
mitandao pamoja na simu ambavyo vingekuja zamani pia jamii ya nyuma yake ingelaani
mavazi ambapo vijana wa siku hizi wanaenda na fasheni niulize wanaume wa sasa na wazamani tulikuwa tunavaa kama sasa hivi ?
Maendeleo
tofauti kubwa kabisa baina ya kizazi cha dot com na zilipendwa ni usiri