Magari au vitanda vinavyotembea?

Magari au vitanda vinavyotembea?

mi nilishasema wacha nibakie kuwa mama kwa watoto wangu wanaotaka au walioamua kuwa mommy/mum kila la kheri
hata uchungu wa kuwazaa nilipoupata hawakuwepo!
 
Hii hufanywa sana na watu wazima haswa kwenye parking spaces za maofisini...

Watu huenda ghorofa ya juu kwenye slot ya mwisho kabisa wakati wa lunch time, na huko hufanya mambo yao pasipo wasiwasi wowote.
Umenifanya nipakumbuke Hall 3 UDSM kule juu kabisa.
 
Bado kuna maeneo ambayo mila na desturi zinaheshimiwa maana watu wenye magari ni wachache ikilinganishwa na wasio nayo. Hata hivyo, kinachotakiwa ni jamii nzima kukemea mambo hayo kila yanapoonekana kutendeka. Ukikutana na watu wanatenda jambo hli sehemu ambayo sio mahali pake, ita watu mtembeze mkong'oto kwa sana. charminglady, ni kweli kwamba mila za kule nyumbani hazipo tena ?

Bro... Mila na desturi zetu bado tunazidumisha!!!!!!!
 
Binafsi nimewahi fanya ila haizidi mara tatu, kwakweli ilikua poa sana japo nili-underperform kutokana na wasiwasi na kulazimika kurudia mechi sehem muafaka. Ila zile moment tu huwa sizisahau.

Shuka kama nawewe ulishawahi na ilikuaje
 
Binafsi nimewahi fanya ila haizidi mara tatu... kwakweli ilikua poa sana japo nili-underperform kutokana na wasiwasi na kulazimika kurudia mechi sehem muafaka.. ila zile moment tu huwa sizisahau...
Shuka kama nawewe ulishawahi na ilikuaje

ili iweje labda?
 
Nakumbuka ilikuwa toyota Nadia maeneo ya coco beach mwaka 2011,then tulipopaki tu...tukakaa juu ya bonet tukila mihogo yetu,soon askari wakafika wakidhani kuwa tumekuja kupiga chezo ndani ya gari..lkn walipotuona tumekaa njee,wakazunguka na kucheki usalama then wakasepa

Kidume nikala mlo wangu,baada ya kumaliza nikafungua mlango wa nyuma wa gari na miwil ya nyuma,ila ya mbele nikaifunga. Nilifanya vile ili kuondoa wasiwasi kwa hadhira juu yetu. Mrembo akalalia upande....akachezea vitatu vya fastafasta. It was soo goood.,but mungu anisamehe. Mrembo kaolewa nowadays na tayar ana mtoto,na nikiamua kupasha kiporo km kawa natumia "jiko la gesi"
 
naona waliocomment nahisi ni unda eitiini
 
Back
Top Bottom