Magari gani yamejazana gereji?

Magari gani yamejazana gereji?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Huko uliko gari zipi zimejazana sana kwenye magereji?

Weka jina hapa hlf kimbia ukachekee mbali sana na ibaki kuwa siri yako usimwambie mtu.

Hapa nilipo naona BMW, Jeep, Nissan Duke, xtrail list ni ndefu wakuu niishie hapa nahofia usalama wangu.

Hii ngoma bado mbichi.
 
Discovery 4 , ford pick ups, X trail, Nissan Navara, Mercedes Benz C class and E class (especially walizoagiza toka Thailand na Uflipino) , Kwa upande wa mamlaka Kuna zile defender 90s na 110s zilizokuwa na engine za ford duratoq zilitaga zaidi ya 90% za phase nzima.
 
Una maanisha zile defender almaarufu puma,ukiacha kuharibika pia nyingi zilipinduka hasa zile za idara ya uhamiaji na zilikuwa na nguvu sana kiasi kwamba walizi limit 140km/h na bado haikusaidia!
 
Huko uliko gari zipi zimejazana sana kwenye magereji?

Weka jina hapa hlf kimbia ukachekee mbali sana na ibaki kuwa siri yako usimwambie mtu.

Hapa nilipo naona BMW, Jeep, Nissan Duke, xtrail list ni ndefu wakuu niishie hapa nahofia usalama wangu.

Hii ngoma bado mbichi.
Toyota is number one

Simply because we have Toyotas accounting for more than 50% ya magari yetu hapa bongo
 
Huko uliko gari zipi zimejazana sana kwenye magereji?

Weka jina hapa hlf kimbia ukachekee mbali sana na ibaki kuwa siri yako usimwambie mtu.

Hapa nilipo naona BMW, Jeep, Nissan Duke, xtrail list ni ndefu wakuu niishie hapa nahofia usalama wangu.

Hii ngoma bado mbichi.
Ya serikali! Ma V8, V6, NISSAN PATROL, HILUX, MIKONGA, ETC ETC
 
1. Nissan (Xtrail, Dualis & Civillian)
2. Land Rover (Disco & RR)
3. Miths Outlander
4. Subies
5. Bimmers
6. VW
7. .....................
Ningeweka na picha sema mleta uzi hajataka uzi wake uwekwe mapichapicha. Ova
 
1.Toyota
2.Nissan
3.Honda
4.mistubishi
5.Subaru
6.BMW
7.Benz
8.Aud
9.Land lover
10.V.Wagon
 
Back
Top Bottom