byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 583
- 1,318
Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE zinaonesha taarifa ya kustua sana,
Ushauri wangu, unapo agiza gari request nyaraka zote za gari kuanzia Auction sheet, condition report, export certificate na hata ikibidi service history ya gari husika, ili ikusaidie kwenye kuangalia trend ya historia ya gari kwenye service na mileage.
Sio unauziwa gari yenye km 378,000 halafu wana twist odometer to read 78,000 na tunachekelea tumeokota gari mpya.