Car4Sale Magari Makali Haya Hapa yanapatikana SHOWROOM kweetu. Ukiwa na pesa pungufu usijali gari utapewa tu

Car4Sale Magari Makali Haya Hapa yanapatikana SHOWROOM kweetu. Ukiwa na pesa pungufu usijali gari utapewa tu

Ni kweli mimi pia, mimi pia namiliki magari ya abiria ila kwa hapo hmna kitu ilibakia kidogo ninunue la hivyo mwaka jana bahati nzuri ndugu yangu alinikataza
Tatizo asa ni nini? Nijuze kidogo
 
Mwenyewe umejaza mipicha uliyodownload kutoka kwenye website ya wauzaji Japan ukazihamishia JF kumbe gari lenyewe mkweche[emoji1787][emoji1787]hakuna gari la ml.66 hapo acha WIZI
acha makasiriko ...
mjapan katengeneza gari unaita mkweche..
utadhani ushawahi mikili gari vile

inaonekana hata maelezo haujasoma..
umekurupukia comment
 
Duh! Gari limetengenezwa kabla sijazaliwa!!!! Kweli tutafute hela. Kila la kheri mkuu
 
Wajapani wanajua kutunza sana vyombo aisee, gari ya 20 years ago. Limeenda only 57 000km wastani wa safari moja ya Mwanza na kurudi kwa mwaka. Ila mswahili akishalifanya daladala trip ya Buza Makumbusho in a year linakuwa hoi.
 
NISSAN CIVILIAN MINI BUS (26 seats) - 46mil TSHS TU!!!!
TD42 Engine | 1999 | 4,200cc | Automatic | Diesel | 26 seaters |


Gari iko vizuri sanaaa
Gari ni ya kuagiza kutoka JAPAN
Bei ni Mil 46 kila kitu hadi usajili.
Malipo ni kwa awamu mbili, na Awamu ya pili unaweza ukapata MKOPO ukaulipa mdogo mdogo kwa miezi 12 au 24.
Muda ni Siku 45 tu hadi Dar es salaam.

Tupigie leo uweze kuweka order
0711 707070
OFFER OFFER OFFER
Unapata na BIMA bure | FIRE EXTINGUISHER na TRIANGLE.

Ofisi zetu : Posta mtaa wa Samora Jengo la NHC House ghorofa ya 9
sisilimited-20231115-0029.jpg
sisilimited-20231115-0027.jpg
sisilimited-20231115-0028.jpg
sisilimited-20231115-0022.jpg
sisilimited-20231115-0023.jpg
sisilimited-20231115-0020.jpg
sisilimited-20231115-0021.jpg
sisilimited-20231115-0025.jpg
sisilimited-20231115-0026.jpg
sisilimited-20231115-0024.jpg
 
Moderator naomba ubadili title hapo coastr iwe coaster...
pia naombaa huu uwe ndio uzi mkuu uunganishe na uzi huu
Toyota Coaster 1HZ Manual ya mwaka 2003
na huu pia
 
Back
Top Bottom