Magari ya Biashara
Senior Member
- Sep 16, 2019
- 183
- 578
- Thread starter
- #21
heading ipo sahihi..labda haujasoma content yotenadhani heading ibadilike badala ya 45m iwe 66m.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heading ipo sahihi..labda haujasoma content yotenadhani heading ibadilike badala ya 45m iwe 66m.
umewahi kununua gari lakiniMbona mkweche tu huu
Hapana boss umefurahi?umewahi kununua gari lakini
au unajua kucomment tu
Ni kweli mimi pia, mimi pia namiliki magari ya abiria ila kwa hapo hmna kitu ilibakia kidogo ninunue la hivyo mwaka jana bahati nzuri ndugu yangu alinikatazaHapana boss umefurahi?
Hapo hamna kitu ndg nimenunua gari ni mwaka 15 Sasa nanunua na kufanya biashara hiyo
Tatizo asa ni nini? Nijuze kidogoNi kweli mimi pia, mimi pia namiliki magari ya abiria ila kwa hapo hmna kitu ilibakia kidogo ninunue la hivyo mwaka jana bahati nzuri ndugu yangu alinikataza
Imeandikwa kitapeli, badilisha tu usibisheheading ipo sahihi..labda haujasoma content yote
acha makasiriko ...Mwenyewe umejaza mipicha uliyodownload kutoka kwenye website ya wauzaji Japan ukazihamishia JF kumbe gari lenyewe mkweche[emoji1787][emoji1787]hakuna gari la ml.66 hapo acha WIZI
soma maelezo usikurupuke...Imeandikwa kitapeli, badilisha tu usibishe
ikiletwa gari ya 2010 hakuna atakayenunua..!acha tupamban na ya miaka ya 90 tuuDuh! Gari limetengenezwa kabla sijazaliwa!!!! Kweli tutafute hela. Kila la kheri mkuu
usiwe mbishi unajua maana ya ulichoandika tu kimahesabu?heading ipo sahihi..labda haujasoma content yote
Ndo wale wale wa nyumba za million 6 Kigamboni!nadhani heading ibadilike badala ya 45m iwe 66m.