Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

kama ni mfanyabiashara au mtu binafsi anataka mkopo wa kununua Gari za Tata anatakiwa alete vitu vifuatavyo;

lete copy ya leseni ya biashara ya kampuni yako.
lete copy ya tin na vat namba ya kampuni yako.
Bank statement ya akaunti yako ya miaka 2 iliyopita, 2018 hadi 2016.

kama wahasibu wetu wakiridhika na documents zako basi tunaingia mkataba. lazima ulipe asilimia 30 advance ya gari. tuna mkopo wa miezi 6, mwaka hadi miaka 2 na unakuwa unalipa kwa instalments ya kila mwezi , riba inategemea na unachukua mkopo wa muda gani kulipa. riba inaanzia asilimia 8 mpaka 20.
Well explained.
 
PROMOTION MPYA YA MWEZI HUU.

NUNUA GARI YA TATA KWETU TUKUPE MAFUTA YA LITA 1000 BURE.

OFA HII INAISHA TAREHE 30 NOVEMBA.

PIGA SIMU KUWEKA ODA, 0737-017866 AU 0686-168624.
 
tata magna bus. zipo stock. 0686-168624. 0737-017866. Mr jon
 
Attachments

  • tata magna.jpg
    tata magna.jpg
    75.3 KB · Views: 94
0686-168624
 
Attachments

  • 39846813_108871733395051_4458887866767900672_n.jpg
    39846813_108871733395051_4458887866767900672_n.jpg
    37.1 KB · Views: 58
Magari ya mhindi alafu mnauza ghali hivyo!
sasa magari ni mapya ni zero km kutoka kiwandani. au ulidhani ni magari mtumba kutoka Japan ???
Soma tangazo vizuri uelewe bosi.
nenda toyota pale showroom ya nyerere road uliza bei za magari yao halafu uje uangalie na bei za tata nilizoweka hapa ni nafuu.
 
Sawa boss
 
Back
Top Bottom