mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
TATA ni magari yanayotengenezwa india mkuu.
Najuwa sana ila nimecheza na spelling tu kuleta ze comedy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TATA ni magari yanayotengenezwa india mkuu.
Pick up used bei gani? Double cabin pia bei gan used?
TATA XENON pick up zinapatikana.simu 0686168624
TATA XENON pick up zinapatikana.simu 0686168624
Asantee mkuu mie nilionana na Mr. Geof na mungu akijalia nitamilika Tata yangu siku zijazoPick up used mpaka nicheki na uongozi kama zipo
lakini tunaweza tukaingia mkataba wa mkopo wa gari mpya kama utapenda, basi, nakupa mchanganuo kama ifuatavyo;
kwa mfano, Bei ya Tata pick up mpya ya Single cabin ni Million 46. Mkopo wake tunatoa wa mwaka mmoja tu.
Kwa mtu binafsi leta
Bank statement
Tin namba
Tin certificate.
Kama document zako ziko vizuri basi tunaingia mkataba.
Unalipia asilimia 30 % ambayo ni 13,800,000 kama asilimia 30%. kiasi kinachobaki 32,200,000/ unalipa kwa instalment kwa kila mwezi, kuna Riba ambayo itaongezwa kwenye balance iliyobaki. kisha utalipia 3,300,500 kwa kila mwezi kwa miezi 12 tu.
kama uko interested nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. Mr Jon.
haina noma mkuu.Asantee mkuu mie nilionana na Mr. Geof na mungu akijalia nitamilika Tata yangu siku zijazo
Mwaka mmoja unakaba mkuu.Pick up used mpaka nicheki na uongozi kama zipo
lakini tunaweza tukaingia mkataba wa mkopo wa gari mpya kama utapenda, basi, nakupa mchanganuo kama ifuatavyo;
kwa mfano, Bei ya Tata pick up mpya ya Single cabin ni Million 46. Mkopo wake tunatoa wa mwaka mmoja tu.
Kwa mtu binafsi leta
Bank statement
Tin namba
Tin certificate.
Kama document zako ziko vizuri basi tunaingia mkataba.
Unalipia asilimia 30 % ambayo ni 13,800,000 kama asilimia 30%. kiasi kinachobaki 32,200,000/ unalipa kwa instalment kwa kila mwezi, kuna Riba ambayo itaongezwa kwenye balance iliyobaki. kisha utalipia 3,300,500 kwa kila mwezi kwa miezi 12 tu.
kama uko interested nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. Mr Jon.
Mwaka mmoja unakaba mkuu.
sasa kama huna tin namba, huna kitambulisho, hujawahi kumiliki akaunti benk. haujulikani unafanya kazi gani sasa kwahilo itakuwa ngumu kukupa mkopo.Huo mkopo hata mimi nisie eleweka napewa
TATA XENON pick up zinapatikana.simu 0686168624
Bei ya tata bus milango mitatu kiasi gani
Mkuu umenipa tamaa, ila bei zake si mchezo, kwa mkopo labda, na tunaomba utujuze taratibu zake, hasa kwa tuliojiajiri...Habari wadau, mimi ni afsa masoko kutoka kampuni ya Tata Motors ya Tanzania. Ninawatangazia magari yetu aina ya Tata.
Ni magari mazuri, imara yanadumu muda mrefu na ni mapya kabisa kutoka kiwandani hayajatumika ni zero km. warranty miaka 3.
Tunauza cash na tunatoa mikopo ya magari kwa wafanyabiashara wote Tanzania. Taasisi za serikali,sekta binafsi pamoja na
wafanyabiashara wa kutoka mikoa yote ya tanzania ninawakaribisha kwa mawasiliano yangu,
Bw Jon (Afsa Masoko Tata motors)
Simu 0737-017866 au 0686- 168624
Email- jopelo.john@mail.com
Bei za Magari Madogo
Tata kirikuu (Ace Ex2 ) tani moja- M 28.
Tata Kirikuu ( Mega Ace) Tani mbili-M 33
Tata Pick up Single Cabin - M 44.
Tata pick up Double cabin - M 52.
Bei za Magari ya Tata canter
Tata Canter SFC 407 Tani 3.5 - M 56
Tata Canter EX2 709 Tani 4 - M 66
Tata canter Ex2 713 Tani 4.5 - M 68
Tata canter Ex2 1012 tani 5 - M 94.
Tata canter Ex2 1518 tani 8 - M 117
Tata canter LPT 25 15 Tani 10 - M 127
Tata Canter EX2 LPT 2516 Tani 10 - M 142
Bei za Malori ya Tipper
Tata Lpk 813 Tani 8 cubi meter- 3.5 - M 80
Tata lpk 1615 tani 10 cubic meter- 8.5 - M 109.
Tata lpk 2516 tani 12 cubic meter 14- M 152.
Tata lpk Prima 2523 tani 15 cubic meter 16 - M 189.
Tata prima 2528 tani 15 cubic meter 18 - M 205.
Bei za malori ya kuvuta Trailer
Tata prima Novus 4928 6x4 - M 143,
Bei za malori yenye winch
Tata Lpk 713- M 131.
Tata Lpk 1518 - M 207.
Bdi za malori zeney mashine ya kuchanganya cement (concrete mixer)
Tata lpk 2518 Concrete mixer - M 187.
r)View attachment 842723View attachment 842724View attachment 842725View attachment 842726View attachment 842727View attachment 842728View attachment 842730View attachment 842731View attachment 842732View attachment 842733View attachment 842734View attachment 842735View attachment 842736View attachment 842737View attachment 842738View attachment 842739View attachment 842740View attachment 842741View attachment 842742View attachment 842743
Mkuu umenipa tamaa, ila bei zake si mchezo, kwa mkopo labda, na tunaomba utujuze taratibu zake, hasa kwa tuliojiajiri...
cha msingi uwe na bank statement ambayo iko vizuri
uwe na tin namba
uwe na kitambulisho
uweze kulipa 30% advance
uweze kulipa bima kubwa ya basi. tunakupa gari.
0737-017866/ 0686168624
Tata Ex2 canter tani 8. gari mpya engine mpya, zero kwa bei nafuu. wasiliana nami 0686168624