Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Pick up used bei gani? Double cabin pia bei gan used?

Pick up used mpaka nicheki na uongozi kama zipo

lakini tunaweza tukaingia mkataba wa mkopo wa gari mpya kama utapenda, basi, nakupa mchanganuo kama ifuatavyo;

kwa mfano, Bei ya Tata pick up mpya ya Single cabin ni Million 46. Mkopo wake tunatoa wa mwaka mmoja tu.

Kwa mtu binafsi leta

Bank statement
Tin namba
Tin certificate.

Kama document zako ziko vizuri basi tunaingia mkataba.

Unalipia asilimia 30 % ambayo ni 13,800,000 kama asilimia 30%. kiasi kinachobaki 32,200,000/ unalipa kwa instalment kwa kila mwezi, kuna Riba ambayo itaongezwa kwenye balance iliyobaki. kisha utalipia 3,300,500 kwa kila mwezi kwa miezi 12 tu.



kama uko interested nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. Mr Jon.
 
kwa mahitaji ya magari ya TATA Wasiliana nami. 0737-017866 au 0686-168624
 
Asantee mkuu mie nilionana na Mr. Geof na mungu akijalia nitamilika Tata yangu siku zijazo
 
Tata Novus hio mpya kabisa hio. 0686-168624 Mr Jon
 

Attachments

  • 41712982_1923786504349061_8556579996238348288_n.jpg
    47.7 KB · Views: 190
Mwaka mmoja unakaba mkuu.
 
Bei ya tata bus milango mitatu kiasi gani
 
Bei ya tata bus milango mitatu kiasi gani

Milango mitatu pamoja na mlango wa dereva au??

Zipo tata bus milango miwili LP 909. ambazo ni maarufu kwa dala dala.

Bei ni M 106. 0686-168624 nipigie kama uko serious.
 
Mkuu umenipa tamaa, ila bei zake si mchezo, kwa mkopo labda, na tunaomba utujuze taratibu zake, hasa kwa tuliojiajiri...
 
Mkuu umenipa tamaa, ila bei zake si mchezo, kwa mkopo labda, na tunaomba utujuze taratibu zake, hasa kwa tuliojiajiri...

cha msingi uwe na bank statement ambayo iko vizuri
uwe na tin namba
uwe na kitambulisho
uweze kulipa 30% advance
uweze kulipa bima kubwa ya basi. tunakupa gari.

0737-017866/ 0686168624
 
cha msingi uwe na bank statement ambayo iko vizuri
uwe na tin namba
uwe na kitambulisho
uweze kulipa 30% advance
uweze kulipa bima kubwa ya basi. tunakupa gari.

0737-017866/ 0686168624
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…