Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

nawapa pongezi kampuni ya famari investment kwa kununua malori yetu ya Tata Novus Mpya kutoka kwetu. Bila kusahau nawapongeza kampuni ya Usangu logistics kwa kununua Tata novus kutoka kwetu. natumaini mnafungulia njia matajiri wengine waje kununua kwetu.
Natumaini kampuni zingine za logistics zitafuata mkondo. kwa mawasiliano na afsa masoko wa Tata piga simu
0737-017866 au 0686-168624
 
0737-017866 au 0686-16862
 
Gari za Tata zina makelele kama bajaji yani. Sio pickup wala ma canter yao jau tu!
Samahani kama nitakukera afsa masoko mwenzangu ila Tata hamna gari ya maana!
 
asante kampuni ya coca cola kwa kuendelea kununua magari yetu ya tata.
natumaini wateja wengine watafuata mkondo
kwa anayehitaji magari ya tata, piga simu- 0686168624
 
NAWASHUKURU KAMPUNI YA YEPI MERKEZ KWA KUENDELEA KUNUNUA MALORI YETU YA TATA KWA AJILI MRADI WA STANDARD GAUGE.
NATUMAINI KAMPUNI ZINGINE ZITAFUATA MKONDO
WADAU WANAOHITAJI KUNUNUA MALORI YA TATA WASISITE KUNITAFUTA KWENYE SIMU 0737-017866
 
Attachments

  • IMG_20180927_105015.jpg
    70.1 KB · Views: 76
Mkuu kuna mdada anaitwa Huruma bado yupo hapo TATA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…