Yani mkuu madalali wanazingua sana yani unakuta Crown Athlete imesajiliwa na imeshatumika Bongo wanauza 13-15m wakati kwa hio bei unaweza kuipata na kuitoa mwenye toka Japan halafu unakuta mwenye gari anataka 8-10m lakini wao wanaongezea mpaka unashangaa hivi hawa majamaa hawaelewi kwamba watu wanaelewa?Postini gari za 7m kushuka jamani hizi bei sasa si bora mtu aagize mwenyewe tu. Ununue gari iliotumika 9m kweli wakati ukiongeza 1.5 unailipia ikiwa Japan.
Nilijua mm peke yangu ndio uwa nashangaa,labda kuna watu toka porini huko wananunuaYani mkuu madalali wanazingua sana yani unakuta Crown Athlete imesajiliwa na imeshatumika Bongo wanauza 13-15m wakati kwa hio bei unaweza kuipata na kuitoa mwenye toka Japan halafu unakuta mwenye gari anataka 8-10m lakini wao wanaongezea mpaka unashangaa hivi hawa majamaa hawaelewi kwamba watu wanaelewa?
Yani too much, ukikuta Crown isio na udalali ni 8m. Nashangaa gari nzuri ambazo ni affordable ndio unakuta 8.5m plus. Ila kimsingi zingeweza kuwa chini ya hapo.Yani mkuu madalali wanazingua sana yani unakuta Crown Athlete imesajiliwa na imeshatumika Bongo wanauza 13-15m wakati kwa hio bei unaweza kuipata na kuitoa mwenye toka Japan halafu unakuta mwenye gari anataka 8-10m lakini wao wanaongezea mpaka unashangaa hivi hawa majamaa hawaelewi kwamba watu wanaelewa?
Crown ya bei poa niliowahi kuona ni 9.5m na registration ilikua DEL ambayo ni ya 2015..na ukikuta gari ya 6m inakua imechoka sana aiseeYani too much, ukikuta Crown isio na udalali ni 8m. Nashangaa gari nzuri ambazo ni affordable ndio unakuta 8.5m plus. Ila kimsingi zingeweza kuwa chini ya hapo.
Gari ziliochakaa sana kwa kutazama tu ndio chini ya million 6