Car4Sale Magari mazuri yapo sokoni

Car4Sale Magari mazuri yapo sokoni

Postini gari za 7m kushuka jamani hizi bei sasa si bora mtu aagize mwenyewe tu. Ununue gari iliotumika 9m kweli wakati ukiongeza 1.5 unailipia ikiwa Japan.
Yani mkuu madalali wanazingua sana yani unakuta Crown Athlete imesajiliwa na imeshatumika Bongo wanauza 13-15m wakati kwa hio bei unaweza kuipata na kuitoa mwenye toka Japan halafu unakuta mwenye gari anataka 8-10m lakini wao wanaongezea mpaka unashangaa hivi hawa majamaa hawaelewi kwamba watu wanaelewa?
 
Nilijua mm peke yangu ndio uwa nashangaa,labda kuna watu toka porini huko wananunua
 
Wateja mtumieni Namba muhusika inbox kunawatu UBUNIFU ZERO Mteja anaweka Namba yake hapa juu nyie mnachukua mnaaza kumsumbuwa kwanini lkn?? Kama unafanya Biashara kama hii n bora ukaazisha Uzi wako
 
Yani mkuu madalali wanazingua sana yani unakuta Crown Athlete imesajiliwa na imeshatumika Bongo wanauza 13-15m wakati kwa hio bei unaweza kuipata na kuitoa mwenye toka Japan halafu unakuta mwenye gari anataka 8-10m lakini wao wanaongezea mpaka unashangaa hivi hawa majamaa hawaelewi kwamba watu wanaelewa?
Yani too much, ukikuta Crown isio na udalali ni 8m. Nashangaa gari nzuri ambazo ni affordable ndio unakuta 8.5m plus. Ila kimsingi zingeweza kuwa chini ya hapo.

Gari ziliochakaa sana kwa kutazama tu ndio chini ya million 6
 
Crown ya bei poa niliowahi kuona ni 9.5m na registration ilikua DEL ambayo ni ya 2015..na ukikuta gari ya 6m inakua imechoka sana aisee
 
Toyota harrier
Old model DEN
Cc 2200
Engine type 5s
Mil 14.8 maongezi
0742 888 488
0739 888 488
IMG-20190703-WA0258.jpg
IMG-20190703-WA0258.jpg
IMG-20190703-WA0257.jpg
IMG-20190703-WA0246.jpg
 
Rav 4 kill time
Mwaka 2000
Cc 1990
Tairi mpya
Mil 13 maongezi
Location DSM
0716 666 677
0739 888 488

20190807_080151.jpeg
20190807_080138.jpeg
20190807_080115.jpeg
20190807_080026.jpeg
IMG-20190807-WA0281.jpeg
IMG-20190807-WA0280.jpeg
 
Toyota harrier
old model T 707 DJL
Cc 2160
Bei mil 15 maongezi
0716 666 677
0739 888 488
IMG-20190819-WA1507.jpeg
IMG-20190819-WA1505.jpeg
IMG-20190819-WA1503.jpeg
IMG-20190819-WA1512.jpeg
IMG-20190819-WA1504.jpeg
IMG-20190819-WA1508.jpeg
IMG-20190819-WA1514.jpeg
IMG-20190819-WA1509.jpeg
 
Hawa madalali wa magari wamezidi tamaa na Nina uhakika kabisa wanawakamataga wasiofatilia magari na bei zake halisi ukiamua kuagiza mwenyewe. Haiingii akilini ununue gari kwa mtu hata kama amelitumia miaka miwili kisa tu unaokoa milioni 1.5 kama ukiagiza mwenyewe. Ki uhalisia ukikutana na mmiliki mwenyewe unapata kwa bei safi kabisa na inaleta maana ya kununua 3rd hand car.
 
Toyota Mark 2
Gx 110
Mwaka 2002
Cc 1980
Bei mil 6.3 maongezi yapo
Location: DSM
Mawasiliano
0785 666 677
0739 888 488
IMG-20190828-WA1995.jpeg
IMG-20190828-WA1999.jpeg
IMG-20190828-WA1992.jpeg
IMG-20190828-WA1988.jpeg
IMG-20190828-WA1993.jpeg
IMG-20190828-WA1996.jpeg
IMG-20190828-WA1989.jpeg
 
Toyota ipsum
Mwaka 2005
Cc 2360
Bei mil 8.5 maongezi
Location DSM
Mawasiliano
0742 888 488
0739 888 488
IMG-20190908-WA0544.jpeg
IMG-20190908-WA0580.jpeg
IMG-20190908-WA0581.jpeg
IMG-20190908-WA0542.jpeg
IMG-20190908-WA0582.jpeg
IMG-20190908-WA0546.jpeg
IMG-20190908-WA0538.jpeg
IMG-20190908-WA0545.jpeg
 
Toyota Ractis
Mwaka 2009
Cc 1290
Mil 10 maongezi
Loc: DSM
Mawasiliano
0739 888 488
0742 888 488
IMG-20190909-WA1272.jpeg
IMG-20190909-WA1278.jpeg
IMG-20190909-WA1279.jpeg
IMG-20190909-WA1274.jpeg
IMG-20190909-WA1273.jpeg
 
Toyota raum
Mwaka 2005
Cc 1490
Mil 9.5 maongezi
Loc: DSM
Mawasiliano
0739 888 488
0742 888 488
IMG-20190915-WA0478.jpeg
IMG-20190915-WA0596.jpeg
IMG-20190915-WA0599.jpeg
IMG-20190915-WA0571.jpeg
IMG-20190915-WA0487.jpeg
IMG-20190915-WA0538.jpeg
IMG-20190915-WA0480.jpeg
IMG-20190915-WA0469.jpeg
 
Toyota corolla
Mwaka 2004
Cc 1290
Bei mil 6.8 maongezi
Location : Dsm
Mawasiliano
0739 888 488
0742 888 488
IMG-20191101-WA0124.jpeg
IMG-20191101-WA0123.jpeg
IMG-20191101-WA0115.jpeg
IMG-20191101-WA0116.jpeg
IMG-20191101-WA0117.jpeg
IMG-20191101-WA0118.jpeg
IMG-20191101-WA0120.jpeg
IMG-20191101-WA0121.jpeg
IMG-20191101-WA0119.jpeg
 
Back
Top Bottom