Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Yani mkuu madalali wanazingua sana yani unakuta Crown Athlete imesajiliwa na imeshatumika Bongo wanauza 13-15m wakati kwa hio bei unaweza kuipata na kuitoa mwenye toka Japan halafu unakuta mwenye gari anataka 8-10m lakini wao wanaongezea mpaka unashangaa hivi hawa majamaa hawaelewi kwamba watu wanaelewa?Postini gari za 7m kushuka jamani hizi bei sasa si bora mtu aagize mwenyewe tu. Ununue gari iliotumika 9m kweli wakati ukiongeza 1.5 unailipia ikiwa Japan.