Magari ya Assad

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad!

Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari.

Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda mwingi alikuwa mafichoni.

Popote alipokuwa anaenda alikuwa alikuwa anaendeshwa.

Ni lini alikuwa anaendesha hayo magari kwenye mitaa ya Damascus?




View: https://youtu.be/pUrnEbnoOK8?si=tGc8kyc1Z7pLaq-l
 
Hahaa nimecheka kinoma nilipoona ferrari f50, hiyo gari ni zaidi ya billion 10 za kibongo huyu sijui sijui alikua analiendeshea wapi
Exactly!

Ni wapi na lini alikuwa akiyaendesha hayo magari?

Na hata kama alikuwa anayaendesha mara moja moja, magari yote hayo ya nini?

Huyo jamaa na baba yake waliifanya Syria kama kampuni yao binafsi.
 
Tawala hizi ni za kinafiki hence za kuogopwa sana; za kidini, kijamaa/komunisti; chama dola; kidikteta. Tawala za hivyo zina uchafu wa ajabu under the carpet. They always pretend to be government by the people and for the people but practically is quietly different.
 
Kuna tofauti na CCM?
 
Exactly!

Ni wapi na lini alikuwa akiyaendesha hayo magari?

Na hata kama alikuwa anayaendesha mara moja moja, magari yote hayo ya nini?

Huyo jamaa na baba yake waliifanya Syria kama kampuni yao binafsi.
Waarabu ndo wanaongoza kwa corruption za wazi kabisa bora hata Africa wanajificha, kuna mfalme wa Bahrain sijui , Jamaa Ana super high end cars kama buku aisee, sijui nilikua naangalia collection yake nikiwa nawaza what a waste.... maintenance tu ya hayo magari ambayo mengi hayatumiki ni kiasi gani..


Sipati picha kina musk,Zuckerberg and the likes wangekua wazee wa ku flex sijui kama mjini pangetosha
 
In case you don't know, there are two types of Socialists. The Rich Socialists and the Poor Socialists. The Rich Socialists are party members, while the Poor Socialists are the die hard supporters and loyalists who believe in the cause.

In the Animal Farm, Orwell's incision is unmatched "All animals are equal, but some are more equal than others"​
 
Exactly!

Ni wapi na lini alikuwa akiyaendesha hayo magari?

Na hata kama alikuwa anayaendesha mara moja moja, magari yote hayo ya nini?

Huyo jamaa na baba yake waliifanya Syria kama kampuni yao binafsi.
Huko CCM kuna watu wana majumba Dubai hujalalamika kwamba hawalali mle na wametuibia wátanganyika, unatoa povu kwa Assad!
 
Yule Kaisari wa Butiama ambaye mnapenda kumwabudu, alinunua Rolls Royce Phantom VI na kuziweka pale Ikulu, ilhali Tanzania was nothing but a dungeon with social services.​
 
Hawa viongozi ni wa ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…