Magari ya Japan (Japanese used cars) za kununua 2026!

Kuna baadhi ya member naona wanamiliki haya magari, utakuta ni namba B au A au C na chuma zimenyooka na hawazi kuuza.
 
Mimi sitaki kununua used tena ....nanyooka kwa wachina hapo bongo nichukue pure EV au range extended EV .....
Jamaa wanatoa warrant ndefu sana...
 
Mimi sitaki kununua used tena ....nanyooka kwa wachina hapo bongo nichukue pure EV au range extended EV .....
Jamaa wanatoa warrant ndefu sana...
Nadhani PHEV au REEV ndio mwendo sahihi. Stress za mafuta unaachana nazo kabisa.
 
Itakua bei. Harrier 3rd Gen Anaconda bila 35+ kuipata mtihani.
Tunaomba orodha ya magari yanayositahimili barabara zetu za rough road huku vijijini ambayo hata ukiendea shamba linavumilia shida.

Gari bei yake isizidi 15-25M, service iwe rafiki na mafuta inywe na siyo kubugia.
 
Sawa mkuu, ngoja niifanyie kazi.
 
Ok
 
Nadhani PHEV au REEV ndio mwendo sahihi. Stress za mafuta unaachana nazo kabisa.
Kaka hizi PHEV kwanini wabongo wanazikimbia sana? Kama Mitsubishi wengi wananunua za wese kwanini? Sio kwamba kuna Bomu wanalikwepa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…