Magari ya Japan (Japanese used cars) za kununua 2026!

Kiongozi nataka kujilipua VOLKASWAGEN TOUREG ya mwaka 2007 - 8 CIF $6,200 ya kuagiza mwenyewe bila Agent, bajeti yangu ni ML 26 pamoja na ushuru. Je bajeti yangu inatosha kulingana na uzoefu wako.

TRA inasoma 10,900,000 TZs
Gari zuri sana. Nilishawahi kulimiliki. Very comfortable na safari za mikoani iko njema. Nilikuwa nafanya service mda stahiki kwa hiyo haikuwahi kunipa shida kabisa. Niliuza five years ago. Aliyenunua mpaka leo anafurahia jasho lake. Gari haijawahi kuwa na kipengere. Kikubwa ni kujali na matunzo.

I have nothing but good memories za VW Tourage.
 
Ni German engineering lazima yawe complicated kwenye maintenance. Ukiweza kulitunza unalimudu ila gharama ya kila service itakua ghali kuliko Japanese.
Nadhani kila kitu including gari, kinaendana na bajeti ya muhusika. Ajipime income bracket yake aone inaendana na aina gani ya gari.
 
Unyama harrier sijaiona hapa anaconda!
 

Kama mwenyekiti ali nunua redio ya Bluetooth, usiku ikasema you can now connect.

wazee wakajua ana ongea na majini yawakamate, alikula stiki huyo😅😂
🤣🤣🤣🤣
 
Honda vezel hybrid 2013-2015 vipi bei yake Tsh ngap mpaka mkononi na Je maintenance ipo vipi roughly?
 
Umeongea cha maana sana, hapo kwenye list yako ongezea mazda verisa ya mwaka wowote, ulaji ni sawa demio.
 
Gari ya kwanza(toyota aqua ni nzuri sana kwa ulaji wa mafuta.changamoto yake ipo chinii sana ikiwa utapita barabara ambayo siyo lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…