Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
GSMView attachment 2126131
Marioo toto bad, G wagon
View attachment 2126132
Young Lunya mbuzi, Range Rover
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GSMView attachment 2126131
Marioo toto bad, G wagon
View attachment 2126132
Young Lunya mbuzi, Range Rover
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mario kapiga picha wakati ana shoot wimbo wake flani..
Namkubali lakini nafikiri mwisho wa uwezo wake Ni tako la nyani crown..
Na huyu najiita mbuzi mwisho wa uwezo wake Ni passo
Nafikiri jamaa hajawahi kukaa na wasanii wakibongo akayajua maisha yao kiundani, angewaonea huruma sana.. sasa Marioo G Wagon ananunua kwa kipato gani kingine alichonacho?Hii G wagon ni milioni 600 amepigia picha tu hilo hana revenue ya kumiliki hiyo chuma
Analeta masikhara sana jamaa [emoji23]Hivi wewe unacheza na hiyo Benzi hapo bei yake manina....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah, na zile kelele za Lunya aki - Rap angekuwa na hiyo gari angeshatufokea sanaMbuzi yake ni kamba tuu.cha uhakia zaid ni kwato
Kumbe mtu akipiga picha na gari analimilikiView attachment 2126131
Marioo toto bad, G wagon
View attachment 2126132
Young Lunya mbuzi, Range Rover
[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba young lunya sijui nan uyo kwamba?
Picha ya hiyo crown (tako la nyani)Mario kapiga picha wakati ana shoot wimbo wake flani..
Namkubali lakini nafikiri mwisho wa uwezo wake Ni tako la nyani crown..
Na huyu najiita mbuzi mwisho wa uwezo wake Ni passo
Number plates za mchongoView attachment 2126131
Marioo toto bad, G wagon
View attachment 2126132
Young Lunya mbuzi, Range Rover
Daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mario kapiga picha wakati ana shoot wimbo wake flani..
Namkubali lakini nafikiri mwisho wa uwezo wake Ni tako la nyani crown..
Na huyu najiita mbuzi mwisho wa uwezo wake Ni passo