Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini
Corolla X |AQ*


MILION 4.4
Year 2001
Cc 1490
Full Document.
🫏🫏🫏
0712 148001 WhatsApp.
IMG-20250308-WA0013.jpg
 
Ukipost gari bei chini ya million 5 unaambatanisha na namba za mafundi
Masuala ya magari ya watu wake, a new one, hawezi kufahamu, mara nyingi kwa uzowefu wangu gari ni engine, ikikusumbua kata engine funga half engine used, kwisha kabisa! Ukiniambia body mbovu hapo sipawezi
 
Ukipost gari bei chini ya million 5 unaambatanisha na namba za mafundi
Namba za mafundi za nini tena na wakati hao mafundi tayari tunao huku mtaani!

Mtoa mada, shusha magari tafadhali ya chini ya milioni 5. Watu tunataka sasa kutembea tukiwa tumekaa.
 
Watu wanakukejeli kwa maneno makali hawajui kwenye hizo gari kuna fursa sana. Watu wanachukua hizo wanarekebisha vitu vidogo wakienda misimu ya mavuno Mtwara,Mbinga,Rukwa gari inauzwa kwa pesa nzuri
 
Hizo gari kuna baadhi wamiliki wanauza sio sababu ya ubovu ni baada ya kutumia muda mrefu na nyumbani anazo gari nyingine. Gari ya mwaka ya usajili wa A,B,C hata kama mnunuzi alinunua 20million akitaka kuuza sasa lazima thamani iwe chini sio kitu cha kushangaa gari nzuri ikiwa bei ya 5m
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Premio Old
3.8m
Engine 7A
Safari popote
WhatsApp 0712 148001.
IMG-20250312-WA0011.jpg
 
Premio Old
3.8m
Engine 7A
Safari popote
WhatsApp 0712 148001.
IMG-20250312-WA0015.jpg
 
Premio Old
3.8m
Engine 7A
Safari popote
WhatsApp 0712 148001.
IMG-20250312-WA0013.jpg
 
Premio Old
3.8m
Engine 7A
Safari popote
WhatsApp 0712 148001.
IMG-20250312-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom