High Vampire JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,915 Reaction score 2,134 Jan 8, 2022 #141 Salago strepto said: Nadhani ushuru wa hybrid wanabase kwenye cc za injini tu, ila sijajua la umeme tu wanachaji vipi, wenye nazo watupe uzoefu zaidi Click to expand... Mkubwa mno
Salago strepto said: Nadhani ushuru wa hybrid wanabase kwenye cc za injini tu, ila sijajua la umeme tu wanachaji vipi, wenye nazo watupe uzoefu zaidi Click to expand... Mkubwa mno
S Steph JK Senior Member Joined Sep 14, 2018 Posts 104 Reaction score 109 Jun 30, 2023 #142 Juzi nilipanda Hybrid car toyota aqua toka Morogoro hadi Dodoma alikuwa anatembe hadi 130km kwa saa na alikuwa anatumia umeme. Nilitamani sana
Juzi nilipanda Hybrid car toyota aqua toka Morogoro hadi Dodoma alikuwa anatembe hadi 130km kwa saa na alikuwa anatumia umeme. Nilitamani sana