Bashiri Abdallah: Nimepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki

Bashiri Abdallah: Nimepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini, Ndugu Bashiri Abdallah amesema kuwa amepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki

Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

Nimepata taarifa kwa usalama wa chama kwamba kuna magari yako hapa ambayo yana watu ambao wanajiita wasiojulikana.

Hii ni Tarime! Ukija hutoki!

''Ndugu zangu, tuko na majonzi hapa. Tumempoteza ndugu yetu muasi kwenye mazingira ya kutatanisha. Alafu..."

Kama mpo na mmekuja bila utaratibu, njoo mtufariji lakini msije kututishia katika eneo hili.
 
Akizungumza Msibani wa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo Julai 5, 2026, Mwenyekiti wa chama hicho kwa Jimbo la Tarime Mjini, Bashiri Abdallah Selemani amekemea kitendo cha kuwepo kwa magari ya wasiojulikana katika eneo hilo akiwataka kutofanya vitendo visivyokubalika eneo hilo

nonsense :1Head:
 
Washamba hao hao Tarime wana mtisha nan ? kila kitu mnaleta siasa na hpo ni msibani.
 
Mlimuua kwa kosa gani, mkuu.

Ni Tanzania tu mauaji yanashabikiwa na kufurahiwa hasa ya upande mmoja.
Leta ushahidi , yaani watu wamuue kisa nn .Fala unatekwa akili na wanasiasi , una safari ndefu sana ya kufuta ujinga.
 
Vita ni vita uko. Wapeni haki yao ya kikatiba.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Washamba mshatekwa , CCM imue mtu ambaye hata elimu hana ,yaani dereva 😅😅
We hata mjini inaonekana wakuja .... Hapa sisiem nani aliyesoma ?
Si kumejaa elimu mbalimbali hapo ndani mbona wanauana sasa

Samia anavyowaitaga Mbuzi hakosei.
 
We hata mjini inaonekana wakuja .... Hapa sisiem nani aliyesoma ?
Si kumejaa elimu mbalimbali hapo ndani mbona wanauana sasa

Samia anavyowaitaga Mbuzi hakosei.
Mjinga wewe ,umatoka porini na shida zako ,wabara wote ni waporipori...Unadanganywa na wajinga .
 
Back
Top Bottom