Magari yaliyoundwa kwa mabilioni yaamsha rapsha Kenya

Magari yaliyoundwa kwa mabilioni yaamsha rapsha Kenya

Nyie mna kipi??., Kenya has Mobius na haya magari ya makopo, and we launched our satellite long ago!! Hauna habari., mko nyuma yetu, na mtashinda kule miaka yore ya dunia hii.
Munapata taabu saaana.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kitu ya TZ,nyumbu inaitwa
tapatalk_1552063088114.jpeg
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mmejitahidi lakini 😂😂😂😂😂😂😂😂 gari kama Banda la kuku,anyway nadhani mtu wenu wa ku design amewa let down...hii ni kazi ya professional designer na wapo watu waliosomea hio fani, huamki tu asubuhi na kuunda gari,,,lazima mgawanyo wa kazi uwepo from designers, engineers,assemblers mpaka marketing,,final product itakua nzuri endapo kuna ushirikiano na sio kazi ya mtu mmoja...anyway, we learn through experience
 
Back
Top Bottom