Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kenyans chicken coops on a trial!Kkkkkkkkkkkkkk!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati Rwanda wana launch satellite... Kenya wanatengeneza magari ya makopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tuna magari yetu chapa nyumbuNyie mna kipi??., Kenya has Mobius na haya magari ya makopo, and we launched our satellite long ago!! Hauna habari., mko nyuma yetu, na mtashinda kule miaka yore ya dunia hii.
Munapata taabu saaana.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Magavana wa county wanachota fedha bila aibu. Wanatukanisha dhana nzima ya ugatuzi (devolved goverment)Wapigaji hawana soni kwa kweli
Wangetangaza kuwa ni matoroliWamejaribu au wamepoteza pesa za taxpayers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mna kipi??., Kenya has Mobius na haya magari ya makopo, and we launched our satellite long ago!! Hauna habari., mko nyuma yetu, na mtashinda kule miaka yore ya dunia hii.
Munapata taabu saaana.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kitu ya TZ,nyumbu inaitwaNyie mna kipi??., Kenya has Mobius na haya magari ya makopo, and we launched our satellite long ago!! Hauna habari., mko nyuma yetu, na mtashinda kule miaka yore ya dunia hii.
Munapata taabu saaana.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya mna matatizo gani, kwanini hamjipangi katika mambo yenu huwa mnapenda Sana kukurupuka?. Badala ya kushughulika na Galana kulalu irrigation project, huko mumemaliza pesa yote mumuamua kupoteza pesa katika mambo ya kipuuzi kama hili.Nani alituroga
KENYA kweli akili hawana... Heheh hizo ni gari au INCUBATOR?Aiseeeee kweli Africa bado sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Cc_Zero IQ
Made In Kenya cars, BJ-50. They costs only KShs450,000 ($4,505.42) each.
View attachment 1040335View attachment 1040336
Pesa za serikali ndio zimetumika kuunda hizo ndinga
Wamejaribu wameweka, kudos Kenya
Made In Kenya cars, BJ-50. They costs only KShs450,000 ($4,505.42) each.
View attachment 1040335View attachment 1040336
Pesa za serikali ndio zimetumika kuunda hizo ndinga
Wamejaribu wameweka, kudos Kenya
Good job Kenya and congratulations sana.
Halaf jamaa anatoa mkono wa pongezi kbs [emoji23][emoji23][emoji23]