- Thread starter
- #21
toyota ist,vitz zipo?....bei gani?
Preta,Vitz na IST hatuna stock labda tukuagizie kutoka Japan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
toyota ist,vitz zipo?....bei gani?
HAHAAAAAAAAAA.... naona desi umeamua!! Maybe this time ntapata lift
toyota ist,vitz zipo?....bei gani?
usijali garma.....nimechoka kupanda punda kila siku
mkuu Kinyau,engine hazichezewa,ni kweli ni imported from Japan,na kuna certificates (JAAI,bill of lading),za kuonyesha kuwa gari imetoka Japan.
Toyota Corrola imported from Japan, 1997, Beige, chasis AE 110, lady driven for only 7m.
JAY2da4, je mnafanya trade-in hapo kwenu. Kama ndio, mnaweza kufanya trade -in kwa gari hiyo niliyoieleza hapo juu?
hiyo "suzuki kei" mbana hujaweka bei?
Hapo kwenye nyekundu nina wasiwasi napo kwani Sikuhizi hakuna hiyo wao wanafanya contact na TBS ndo utakuta nembo yao hata kule JAPAN nembo hiyo wanayo kwa TANZANIA sasa hayo magari labda uliingiza nyuma ya miaka ya hivi karibuni mimi mwaka jana tu nime import magari 5 yote yalikuwa na TBS kutoka huko huko Japan. Sasa TUELEZEEE VYEMA TUELEWE HIYO INATOLEWA WAPI AU DUBAI KWA DUBAI MIMI SIJUI. ASANTE KWA OFFER ZAKO TUNAKUJA MIMI NI MDAU WA VITU HIVYO
Hizi mashine hazina taarifa ya mwendo zilizotembea. Mwaka hausadii, imeunguruma kilomita ngapi, ndio nitajua gari ni ahueni au chuma chakavu.
GX110 ipo kaka, mileage 50,000KM.Karibu sana mkuu.Baadae nitaweka mileage ya kila gari nikifika ofisini.Kweli mkuu KM muhimu saana naomba utuwekee
MIMI naitagi GX110 less then 90000km in Good condition vip inapatikana?? kama vipi leo napitia hapo