Magari yanauzwa

Magari yanauzwa

Toyota Corrola imported from Japan, 1997, Beige, chasis AE 110, lady driven for only 7m.

JAY2da4, je mnafanya trade-in hapo kwenu. Kama ndio, mnaweza kufanya trade -in kwa gari hiyo niliyoieleza hapo juu?
 
hivi kwanini watu wengine wanamharibia mwenzenu thread, yeye kaweka magari yake anauza mara wengine wanakuja ooh na hii mazda mara lady driven, si muweke zenu.
 
mkuu Kinyau,engine hazichezewa,ni kweli ni imported from Japan,na kuna certificates (JAAI,bill of lading),za kuonyesha kuwa gari imetoka Japan.

Hapo kwenye nyekundu nina wasiwasi napo kwani Sikuhizi hakuna hiyo wao wanafanya contact na TBS ndo utakuta nembo yao hata kule JAPAN nembo hiyo wanayo kwa TANZANIA sasa hayo magari labda uliingiza nyuma ya miaka ya hivi karibuni mimi mwaka jana tu nime import magari 5 yote yalikuwa na TBS kutoka huko huko Japan. Sasa TUELEZEEE VYEMA TUELEWE HIYO INATOLEWA WAPI AU DUBAI KWA DUBAI MIMI SIJUI. ASANTE KWA OFFER ZAKO TUNAKUJA MIMI NI MDAU WA VITU HIVYO
 
Toyota Corrola imported from Japan, 1997, Beige, chasis AE 110, lady driven for only 7m.

JAY2da4, je mnafanya trade-in hapo kwenu. Kama ndio, mnaweza kufanya trade -in kwa gari hiyo niliyoieleza hapo juu?

Ama,trade-in hatufanyi .Asante.
 
Hapo kwenye nyekundu nina wasiwasi napo kwani Sikuhizi hakuna hiyo wao wanafanya contact na TBS ndo utakuta nembo yao hata kule JAPAN nembo hiyo wanayo kwa TANZANIA sasa hayo magari labda uliingiza nyuma ya miaka ya hivi karibuni mimi mwaka jana tu nime import magari 5 yote yalikuwa na TBS kutoka huko huko Japan. Sasa TUELEZEEE VYEMA TUELEWE HIYO INATOLEWA WAPI AU DUBAI KWA DUBAI MIMI SIJUI. ASANTE KWA OFFER ZAKO TUNAKUJA MIMI NI MDAU WA VITU HIVYO

Original Pastor,kwa wale wanaotumia JAAI inspection,nembo ya JAAI huwa ipo kwenye kioo cha mbele,kama inavyoonekana kwenye magari hapo ina rangi ya blue.Pia kuna wengine hawatumia JAAI,kuna makampuni mengine ya inspection tofauti na JAAI ambayo nayo yamekubaliwa na TBS kufanya ukaguzi wa magari,labda hao ndo wanatumia nembo ya TBS.Bila shaka kuna wengine pia hapa wameshawahi kuagiza magari Japan,wanaweza wakatuambia magari yao yana nembo ipi?Karibu sana mkuu,nimefurahi kusikia wewe ni mdau wa magari.
 
Hizi mashine hazina taarifa ya mwendo zilizotembea. Mwaka hausadii, imeunguruma kilomita ngapi, ndio nitajua gari ni ahueni au chuma chakavu.
 
Kweli mkuu KM muhimu saana naomba utuwekee

MIMI naitagi GX110 less then 90000km in Good condition vip inapatikana?? kama vipi leo napitia hapo
 
GX110 ipo kaka, mileage 50,000KM.Karibu sana mkuu.Baadae nitaweka mileage ya kila gari nikifika ofisini.
 
JAY2 bado hujafika ofisini uweke hizo mileage?
 
Kujua mileage ni muhimu....ila kuna mchezo wa kushusha high mileage cars,je mtajuaje zikishushwa?? I.e gari imetembea km 150,000 inashushwa hadi km 50,000......
 
Back
Top Bottom