Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 105
- 65
Mkuu unapenda magari sana,umenikumbusha sana mwamba Paul walker.Mkuu usiangalie wengine wanasemaje kuhusu gari lako. Angalia taste yako.
Vigezo vya kuchukiwa?Passo inaongoza kwa kuchukiwa hapo
Swala la mafuta hutegemea na mfuko wako, ukishindwa kutumia wewe achana nalo kuna mtu analimudu. Kuna kitu watu wahajui bigger engine last longer halafu inakupa nidhamu ya kutumia.Hio list inaongozwa na toyota brevis
Na gari zote sedan zenye cc2500 plus halafu zinatumia petrol