Magari yanayochukiwa bongo

Magari yanayochukiwa bongo

Mtu Poa 2013

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
105
Reaction score
65
Habari zenu. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Mnawezq nitajia magari yanayochukiwa na wabongo kwa vigezi kwamba hawayataki kutanunua tena kwa vigezi kuwa yanakula sana mafuta, engines zake mbovu zinakuwa na ubovu mara kwa mara, gharama kuyatunza na body lake jepesi ka karatasi
AsAnTe
 
Pia vipi kuhusu minivans, zipo zinachukiwa, watu hawataki kuagiza Wala kununua Tena?
 
Hio list inaongozwa na toyota brevis
Na gari zote sedan zenye cc2500 plus halafu zinatumia petrol
Swala la mafuta hutegemea na mfuko wako, ukishindwa kutumia wewe achana nalo kuna mtu analimudu. Kuna kitu watu wahajui bigger engine last longer halafu inakupa nidhamu ya kutumia.

Magari yenye cc ndogo ndiyo yanaongoza kuzima barabarani kwa kuishiwa mafuta kuliko hiyo gari uliyoitolea mfano.
 
Back
Top Bottom