Magari yanayosambaza maji yanamilkiwa na nani?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kuna magari yanasambaza maji na wanasambaza sehemu yenye shida za maji.

Dawasa naomba kujua yanamilikiwa na nani, mbona hawasambazi Masaki ama Oysterbay.
 
Tumia hiyo fursa chimba kisima sambaza maji wewe.
 
Back
Top Bottom