Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

Hizo tozo/ mapato zinajenga BUJUMBURA eti? Tozo nyingi lakini zinaonekana zinawenda wapi...? Mbaya wangekuwa wanakusanya na hamjui zinaenda wapi..... Sio mpenzi wa kusupport kila kitu cha watawala ila kwenye makusanyo wacha wakusanye na huduma zitolewe...View attachment 1680636

View attachment 1680638

View attachment 1680640

View attachment 1680643

View attachment 1680647
umesahau na uwanja wa ndege,chato,mbuga ya wanyama buligi,veta chato bila kusahau uwanja wa miguu wa kisasa kabisa pale chato,

kweli matunda ya kodi zetu tunayaona
 
Tecno yangu haisomi hio file.
ADA NA USHURU.
1. Washereheshaji 50,000.
2. Wapambaji 30,000
3. Wapigapicha 30,000
4. Wapishi 30,000
5. Muziki 30,000
6. Wenye ukumbi 50,000/100,000


NOTE:
Weekend inapoenda kuisha, vaa barakoa, kaa mbali na mkusanyiko na osha mikono kwa sabuni.
 
Ila Watanzania hatupendi kulipa kodi jamani, sasa mtu unafanya biashara Kwanini usilipe kodi? Au hayo magari ya maiti yanasafirisha bure?
Kwanini watu tunapenda kulalamika kila kitu?

Mwingine anasema "na wachonga majeneza wataanza kulipa kodi" why not? Anakuchongea bure? Kwanini asilipe kodi? Unapoenda kuzika lile kaburi hulipii?

#Lipa Kodi kwa Maendeleo ya Nchi Yako#
 
Akitozwa mmachinga 20,000/- ya kitambulisho safi kabisa, akidaiwa retention fees ya mkopo wa elimu safi kabisa. Akitozwa mfanyabiashara wa kusafirisha maiti ni dhambi kisa anafanya biashara?

Acheni unafiki kodi /tozo hazitungwi bila kuangalia biashara inatengeneza faida kiasi gani na tozo liwe kiasi gani. Hiyo ni biashara kama biashara nyingine za usafirishaji zinazolipa hizo tozo (LATRA) au kisa wamegusa maiti?
Mkuu uko sahihi watanzania tumekuwa hovyo kweli kulalamika kila kitu,hilo gari kulikodi Gharama yake ni balaa,ghali kuliko gari la harusi,na hela zote zinaishia mifukoni mwa wamiliki .
 
Back
Top Bottom