Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

umesahau na uwanja wa ndege,chato,mbuga ya wanyama buligi,veta chato bila kusahau uwanja wa miguu wa kisasa kabisa pale chato,

kweli matunda ya kodi zetu tunayaona
 
Tecno yangu haisomi hio file.
ADA NA USHURU.
1. Washereheshaji 50,000.
2. Wapambaji 30,000
3. Wapigapicha 30,000
4. Wapishi 30,000
5. Muziki 30,000
6. Wenye ukumbi 50,000/100,000


NOTE:
Weekend inapoenda kuisha, vaa barakoa, kaa mbali na mkusanyiko na osha mikono kwa sabuni.
 
Ila Watanzania hatupendi kulipa kodi jamani, sasa mtu unafanya biashara Kwanini usilipe kodi? Au hayo magari ya maiti yanasafirisha bure?
Kwanini watu tunapenda kulalamika kila kitu?

Mwingine anasema "na wachonga majeneza wataanza kulipa kodi" why not? Anakuchongea bure? Kwanini asilipe kodi? Unapoenda kuzika lile kaburi hulipii?

#Lipa Kodi kwa Maendeleo ya Nchi Yako#
 
Mkuu uko sahihi watanzania tumekuwa hovyo kweli kulalamika kila kitu,hilo gari kulikodi Gharama yake ni balaa,ghali kuliko gari la harusi,na hela zote zinaishia mifukoni mwa wamiliki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…