The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwani hisa za CCM huko mwananchi waliziuza? Mwananchi communications na Uhuru media ya uvccm ni sawa na godoro na shuka. hawana tofauti. tofauti ni majina tu na location wanakofanyia kazi.Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa...
Unaweza kuta kwa wao ni kipato kikubwa sanaUkiangalia Ile document ya increment inasikitisha kweli sekta binafsi kima cha chini kutoka 120k Hadi 150k gazeti linasema mishahara imepaa
Musiba huyu huyu mwehu ninayemsikia ?Siliamini kabisa gazeti la Uhuru na yale magazeti ya Musiba ni maongo sana
Magazeti yetu nahisi huwa yanalipwa kupindisha ukweli ili watu wasijue, kuna mambo huwa yanaandikwa ila kwa ndani huwa ni tofauti kabisa.Gazeti la Mwananchi binafsi limepoteza heshima yake, halina tofauti na gazeti la Habari Leo, ninawaadhibu kwa kutonunua gazeti lao, na mbaya zaidi wameshamsahau mwandishi wao aliyepotea, Azory (profesa wa majalalani ,damu ya mwandishi huyu inakulilia).
Ndilo ninaloliamini.Rai mwema ndoo kinara wa upotoshaji
Ya musiba yamekufa kibuduSiliamini kabisa gazeti la Uhuru na yale magazeti ya Musiba ni maongo sana
Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa. Inasema mishahara ya paa.
Ukiangalia Ile document ya increment inasikitisha kweli sekta binafsi kima cha chini kutoka 120k Hadi 150k gazeti linasema mishahara imepaa.
Ivi Kwa dunia ya Leo Nani anaweza kuishi Kwa Mshahara wa 150k.
Amini na waambia magazeti hasa yaliyojikita kusifia serikali yana habari nyingi za mchongo.
Nakupa home Fuatilia sakata Kati ya Bandari na TICS Kwa undani na kinachoandikwa na magazeti yetu utalia
Uingereza habari zinaandikwa na wenye taaluma ya hicho anachokiandika. Siyo kila mtu ni Mwanahabari. Ndiyo maana Magazeti ya Uingereza unaweza kujibia mitihani shuleni na vyuoni.Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa. Inasema mishahara ya paa.
Ukiangalia Ile document ya increment inasikitisha kweli sekta binafsi kima cha chini kutoka 120k Hadi 150k gazeti linasema mishahara imepaa.
Ivi Kwa dunia ya Leo Nani anaweza kuishi Kwa Mshahara wa 150k.
Amini na waambia magazeti hasa yaliyojikita kusifia serikali yana habari nyingi za mchongo.
Nakupa home Fuatilia sakata Kati ya Bandari na TICS Kwa undani na kinachoandikwa na magazeti yetu utalia.
View attachment 2436353
Umeandika mambo meengi ya hovyo.Acheni unafiki!! kupaa manake kwenda juu! juu zaidi ya kiwango au mahali/hali iliyozoeleka! ivo kima cha chini kimetoka 120 na kupaa hadi kufkia 150 sasa uongo wa wandishi wahabari ni nini???
kwa sababu wameandika hali ilivyo! acheni roho mbaya za kiswahili hizo!!..msipo soma hayo mtapata wapi ya ukweli ilimyasome?? Africa Now?...au labda African Events/N.York times! ndo mnaona ya maana siyo!
si uhame nchi!! nenda kaishi huko, tuachie hayo! magazeti yetu! ndo tulivyo!...akili yako ndogo haijui kupamabanua kati ya uongo/kawaida/ na ukweli!...sasa uanataka mishahara yetu ilingane na ya USA? Kweli??
Mbona wapokeaji wana mudu maisha yao?? Umekurupuka wkt hata Passport ya kwenda hapo Kenya tu huna!
Unadhani utajibu nini?? km siyo kukashfu??.....niamini mimi ndivo ulivo!...sidhani km mke huyo bado anaishi na mtu km weye!! labda awe house girl mzee!Umeandika mambo meengi ya hovyo.
Pass! unayo?? tamka mwenyewe ukifika ugenini utajielezaje?? kwa kifaransa! tuanzie hapo si lugha yenu ya taifa iyoo??meengi ya hovyo.