Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.

Suluhisho amelindika Askofu mwamakula
1692540092115.jpeg
 
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.
Waandike wasiadike leo umesomwa makanisani kote hivyo habari zimewafikia watu wengi zaidi kuliko kama zingekuwa kwenye vipeperushi vya nape
 
Hivi karne ya leo hii kuna mtu anategemea magazeti yaandikw nini?

Mageti linaandikwa leo linafika Mwanza kesho kutwa halafu utegemee liwe na impact yoyote?

Kule Tarime ama Mbamba Bay ambapo magazeti yanatumia wiki kufika unataka kusema hawajui waraka wa kanisa hadi sasa kisa magazeti hayajaandika?
 
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.
BREAKING: Kampuni moja ya habari inaturipotia kwamba, Waziri Nape Nnauye Amepiga simu mwenyewe, simu ya vitisho kuvionya baadhi ya vyombo vya habari, TV, Radio na Magazeti kutokuandika chochote kuhusu TAMKO LA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC).
 
Back
Top Bottom