Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Waache kuandika ya maana waandike hizo porojo za "baza til munafik"?

Hizo tutapiga porojo hapa JF na kondoo na wachungaji wanaoingia kikondoo.

Haya, kuna lipi jipya kwenye huo "waraka"?
 
Mnafahamu kuwa jana mama katagaza Arusha, ataekwenda kuomba kwa mama akiliua shirika la umma basi ni bora asiende, afe nalo hukohuko. Akienda Ikulu mama anamuua yeye.

Baada ya mashirika ya umma na taasisi za wizara zote kuwekwa sawa, sasa tunataka mama aweke mama aweke sawa taasisi za kidini. Hatutaki pesa zetu ziende kwenye taasisi za kidini. Kila mmoja afe kivyake.
 
Kwani wakiandika kuna athari ipi?

Watu tupo busy na mageuzi ya kiuchumi tanayojadiliwa Arusha saa hizi.
Rekebisheni haraka kasoro za huo mkataba wenu kabla ya mambo kuharibika kabisa. Ifikie wakati mtofautishe kati ya dini na maslahi ya Taifa.

TEC wanasimamia maslahi ya Taifa, nyinyi mnasimamia maslahi ya Waarabu! Kisa tu ni ndugu zenu katika imaan, na pia huwa wanawapatia msaada wa tende wakati wa mfungo! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
 
Mngechapisha kopi nyingi mlete misikitini tuwasambazie na Waislam.

Halafu sisi kutwa mara tano tutausoma, badala ya wiki mara moja.

Vipi hapo?
 
Yamenunuliwa Unajua Kanisa Lina Akili
Lenyewe Linaupeleka Waraka Mpaka Kijijini Ambako Mwananchi Hawezi Kupata Gazeti
 
Hahahaaa!! Leo umesomwa kanisani inatosha hata wasio enda kanisani leo wameenda na kulijaa mnooo.
Pia juzi kwenye jumuiya imesomwa kama kawa kama dawa.usipo utwanga utaula mbichi.
 
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.
Waliotoa hiyo amri wamejosa maarifa. Shida ya kuwapa uwaziri watu ambao wana upeo mdogo.

Kwa hulka ya mwanadamu, ukitaka kuificha habari, ndiyo unasababisha watu waanze kuitafita hiyo habari kwa nguvu.
 
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.
Nape na Balile ni watu hatari sana katika tasinia ya Habari. Hasa Nape hafai hata kuheshimiwa.
 
Back
Top Bottom