Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Kitendo cha mwananchi digital kuweka clip ya waraka ukisomwa kanisani ni mileage kubwa ktk social media kuliko wangechapisha
 
Kanuni kuu ya kuhabarisha ni kuwa, kwa kadri unapozuia habari ya muhimu isiwafikie watu, ndivyo habari hiyo inavyokuwa bidhaa muhimu ya kutafutwa na watu wengi zaidi na mwisho wa siku watu wengi wataipata.
Hapa karibu yangu Kuna ustadh ameomba nimrushie waraka Wa TEC na nimefanya hivyo .
 
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.
Catholic huwa hatutegemei vyombo hivyo vya habari kutufikishia ujumbe popote pale, tuna utaratibu wetu wa kuwasiliana na kufikisha ujumbe popote.
 
Hujaandika magazetini lakini waraka umesomwa kanisani kila misa, kuanzia kwenye jumuia,kigango,parokiani hadi jimboni hiyo ni zaidi ya magazeti mjomba!!
Kwa siku kama sijakosea kila mkoa upata magezeti hayazidi 500, sasa kipi bora gazeti au jumuiya/kanisa, serikali inajidanganya
 

Attachments

  • CF1E2D26-EE43-4F4C-86F6-1DAA661C61FF.jpeg
    CF1E2D26-EE43-4F4C-86F6-1DAA661C61FF.jpeg
    74.5 KB · Views: 1
Mbona wakati Magufuli anatuibia kura kitudhulumu TEC walikuwa kimya
Hawajawahi kukaa kimya labda kama umezaliwa jana, Askofu aliyenyanganywa pasport hivi alikuwa nani? aliyekemea utumbuaji usio na staha unakumbuka alikuwa nani? Vuta kumbukumbu Mkuu utanipa jibu, Askofu Bagonza umemsahau mara hii? Unakumbuka walimuita magufuri kupa honyo kuhusu mauaji horela akagoma kwenda huko tec.
 
Back
Top Bottom