Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Wewe waza ngono na tende za Bure toka arabuni na kujengewa misikiti sisi tunawaza maslahi mapana ya nchi na vizazi vyetu.
 
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.
uzuri watanzania hadi vijijini kuna simu za smart, hivyo wanapata kila kinachoendelea kwa instagram na whatsapp, na facebook. siku hizi magazeti hayana dili, mimi sijasoma gazeni nina miaka 5 na sihitaji kwasababu kile nitakachokisoma nimeshakisoma tayari mitandaoni. ccm hawajajua nguvu ya mitandao na watakuja kujua baadaye sana wakiwa wamechelewa.
 
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.
Wala hilo si tatizo! Taarifa ishafika panapostahili.
 
Retired ujumbe umefika, TEC wamesaidia kutoa elimu juu ya mkataba huu mbovu kwa wakatoliki wote kuanzia vigangoni mpaka kwenye jumuia.
Leo nimepata faraja sana na maudhurio ya kanisani. Waumini wameshangilia sana kwetu , tena kwenye Kigango!
 
Mbona wakati Magufuli anatuibia kura kitudhulumu TEC walikuwa kimya
Ni TEC na KKKT tu kipindi cha uongonzi wa Magufuli waliweza kuongea na kumkemea.

Padri Kitima alienda kusimangwa na Magufuli kanisani kisa korona.

Askofu mkuu Nyaisonga, Askofu mkuu Ruwaichi na Askofu mkuu Niwemugizi hawa wote zilikuwa haziivi kwasababu ya kumkosoa Magufuli na Niwemugizi aliingia hadi kwenye matatizo ya uraia.

TEC na KKKT wameongea kuhusu uvunjifu wa amani katika nyaraka zao za kwaresima na hata kipindi cha korona.

JE kipindi yanatokea haya ulikuwa wapi kijijini au ?.
 
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.

Suluhisho amelindika Askofu mwamakula
View attachment 2723015
Bahati mbaya mimi mara ya mwisho kusoma gazeti ni 2016, waandike wasiandike ujumbe umefika kwa kasi sn
 
Wewe mpumbavu hujauliza Kwanini masheikh wenu wanabaka na kulawiti watoto kwenye miskiti?.
Unajisahaulisha wakati dunia mzima inajua mapadri ndio wanalawiti.watoto.makanisani
 
Bahati nzuri wasomaji wenyewe wa hayo magazeti kwa sasa wanahesabika. Hivyo hakuna athari yoyote ile hata wasipoandika.

Hivi hawa wachapishaji magazeti bado wanauza na kupata faida? Ama wanapewa ruzuku ili waendelee kuwepo tu. Mie hata kuyaona tu siyaoni hayo magazeti.
 
BREAKING: Kampuni moja ya habari inaturipotia kwamba, Waziri Nape Nnauye Amepiga simu mwenyewe, simu ya vitisho kuvionya baadhi ya vyombo vya habari, TV, Radio na Magazeti kutokuandika chochote kuhusu TAMKO LA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC).

Inabidi wawe wanarekodi hizi simu nakuwekewa hata documentary ama kujishwa. Lakini nashangaa ni miaka sasa hakuna uvujishaji wa maagizo ya kijinga.

Tuna vyombo vya habari vya kishamba sana, wanavifaa lakn hawajui kuvitumia ama kuogopa. Watu kama hawa wanaotoatoa maagizo mnaweka kabisa katika taarifa ya habari[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom