Kwa hiyo leo walivyompatia chakula ni kuwa wamevunja utaratibu wao ama wamefanya upendeleo?Muhalifu Lissu anajidai mahabusu bishoo, utaratibu wa magereza ukitoka mahakamani chakula utakikuta hukohuko magereza.
Na jeshi la Magereza lisiruhusu mtu yoyote wa Chadema ampe chakula Muhalifu Lissu hapo mahakamani, hawachelewi kumpa sumu ili akafie gerezani ionekane kalishwa sumu na askari.
Maana moja ya mbinu ya chadema ni kuuwana wenyewe kwa wenyewe ili kuichonganisha serekali na wananchi, hawana utu kabisa hao wanauchu na pesa na madaraka tu, ndo maana wamekula hadi rambirambi za Mzee mtei
Kama wamempa chakula wamekosea sana hastahili kupewa chakulaKwa hiyo leo walivyompatia chakula ni kuwa wamevunja utaratibu wao ama wamefanya upendeleo?
Watu wenye vichwa vya mviringo mnakuwaga na akili chache sana.
Unastahili kupewa wewe kiazi usiyw na akili?Kama wamempa chakula wamekosea sana hastahili kupewa chakula
Mpe Kunduchi yakoKama wamempa chakula wamekosea sana hastahili kupewa chakula
Kumbe waislam hupitia mazito kwenye kufunga na si kweli kwamba hubadili tu ratiba ya kula!Mtu usimame kizumbani asubuhi mpaka saa 7. Kisha uendelee saa nane kusimama kizimbani. Huku unahojiwa na wanasheria na majaji. Akili zitafanya kazi ?! Miguu itafanya kazi !!.
Mshtakiwa kasema magereza wamezuia fedha zake. Kwanini wasizitumie kumlisha kama wao wanaona hasara ?!
Halafu hayo maelezo yamefafanua nini sasa au mi ndiyo sijui kiswahili ?!
Huwa wanasimama kizimbani wakihojiwa na mawakili wa serikali asbh mpka jioni kipindi cha mfungo?Kumbe waislam hupitia mazito kwenye kufunga na si kweli kwamba hubadili tu ratiba ya kula!