Magereza: Hakuna upendeleo katika huduma ya chakula kwa wafungwa na mahabusu

Huwa wanasimama kizimbani wakihojiwa na mawakili wa serikali asbh mpka jioni kipindi cha mfungo?
Binafsi ramadhani za 1990s nilikua shamba kutwa nzima kule tabora,washkaji kibao ramadhani na wanapiga zege kutwa
 
🌈
 
Matako Yao by Sugu
 
Nyie magereza wapumbavu kabisa. Press Release (statement) haijajibu maswali ya umma.

Tuambieni iwapo wafungwa na mahabusu wenu huwa hawali chakula cha mchana? Kwanini na kwa mujibu wa kifungu cha sheria gani..?

Kumbukeni hakuna mtu anayewalalamikia na kutaka awape wafungwa chakula chake mwenyewe...!

Mnachotakiwa kukitolea statement ni kitendo cha kushindisha njaa wafungwa au mahabusu waliokwenda mahakamani kusikiliza kesi zao kuanzia asubuhi hadi jioni saa 11 jioni au na zaidi...

Uambieni umma kuwa kuwa kwa mujibu wa kifungu fulani cha sheria cha kulinda na kutunza, kulinda na kuhudumia wafungwa na mahabusu, mchana hawaruhusiwi kula chakula...

Hiki ndicho tunachotaka mtueleze. Lakini statement yenu imejaa blaah blaah na maelezo ya kijanja janja yanayoashiria kila dalili za ufisadi ndani ya magereza yetu...!

Leteni upya statement ijibu swali na hoja za watu...
 
Binafsi ramadhani za 1990s nilikua shamba kutwa nzima kule tabora,washkaji kibao ramadhani na wanapiga zege kutwa
Sasa hapo si ni kutekeleza swala la kiimani kitu ambacho unajua kabisa faida yake baina yako na mola wako, hata uwe shambani, kizimbani au msituni ukikata miti hakuna shida. Tofauti na kukaa na njaa ya makusudi ndg yangu. Mbona unalinganisha vitu viwili tofaui? Ndo maana kwenye funga hatusemi tunanjaa tunasema swaumu
 
Tanzania ni nchi ya ovyo Sana. Bado miaka ya 1960, hii yo te sababu tunaongozwa na jeshi LA ccm
 
Kwani mkuu akipewa chakula mahakamani na wanachadema kuna shida gani? Kwani hakuna utaratibu kama ule wa mahabusu ukipeleka chakula unatakiwa uonje kwanza sasa kwa muktadha huo nani ataweka sumu afe yeye kwanza?
 
Mahabusu akiwa mahakamani ni jukumu la magereza kuhakikisha anapewa chakula akiwa hapo hapo mahakamani. Prison Act imesema hivyo
 
Kuna upuuzi mwingi sana kwenye haya majeshi. Ni vile kulikuwa hawajapatikana watu wa kuwaexpose kama Lissu. Fikiria kwa sekunde kadhaa jinsi yale magari yanayowapeleka watuhumiwa jinsi yalivyochoka, Sasa huko kwenye magereza Hali itakuwaje!

Lakini wakati huohuo mavx mapya yananunuliwa Kila mwaka
 
Kumjibu aliyekua analilia chakula mahakamani unapokua Gerezani unaruhusiwa kula ulichotoka nacho Jela tuu na hauruhusiwi kurudi nacho Jela
 
makumi wenye akili pungufu kuongoza maelfu wenye akili timamu
 
Sugu uwa anasema

MATAKO YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…