Rubbish kwa hiyo wanabishia cameraJeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
View attachment 3428247
View attachment 3428249
Barua kama kitabuNgoja ningojee summary, barua ni ndefu
Safi kabisa anatakiwa afuate kanuni za ulinzi za Jeshi la Magereza akileta ubishi wanamlazimisha kufuata kanuni hizo. Shenzi type!! 🤣🤣Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
View attachment 3428247
View attachment 3428249
Mkuu, lisu ni mlemavu, kwa anastahili kuhudumiwa kama yai.Tumezoea wanapiga wafungwa na mahabusu mpaka makofi, sasa Lissu kusukumwa tu wanaba msamaha, who is Lissu 🤣
Wamesema alionyesha dalili za kukataa kufuata utaratibu hivyo akalazimishwa. Alifikiri yuko nyumbani kwake!! Ache ujuaji.Kwa hiyo watu ni vipofu au sio?....
Tanzania 🇹🇿 ina ujinga mwingi sana!
Kila la kheri Taifa stars..
Na,utakuta ni jitu zima lilikuwa linacharaza huo waraka wa kipuuzi huku kalaza shingo kwa madaha.Barua kama kitabu
Umeandika kichangudoachangudoa.Wamesema alionyesha dalili za kukataa kufuata utaratibu hivyo akalazimishwa. Alifikiri yuko nyumbani kwake!! Ache ujuaji.
Ili aweze kuhudumiwa kama yai pia na yeye akubali kufuata utaratibu wa magereza siyo kuleta ujuaji. Acha anyooshwe huyo msaliti mkubwa.Mkuu, lisu ni mlemavu, kwa anastahili kuhudumiwa kama yai.
Siasa zinatujengea chuki sana Sisi wa Chini lakini akina Mbowe, Sugu na Ustaadh Abdul ni marafiki wa kudumu 😂Mkuu, lisu ni mlemavu, kwa anastahili kuhudumiwa kama yai.
Kukaa kimya kungepunguza kuonekana wajinga, lakini Waraka huu mrefu iliojaa pumba umeonyesha mlivyo kusanyiko la Mazuzu.Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Magereza, Elizabeth Mbezi kupitia ukurasa wq Instagram wa jeshi hilo leo Agosti 2, imetetea pia uvaaji wa kininja wa askari magereza wanaomsindikiza Lissu.
View attachment 3428247
View attachment 3428249