The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Uliniona nikimsukuma Lissu au ubongo wako uko likizo?Andika na wewe yako.
Uliniona nikimsukuma Lissu au ubongo wako uko likizo?Andika na wewe yako.
Safi kabisa anatakiwa afuate kanuni za ulinzi za Jeshi la Magereza akileta ubishi wanamlazimisha kufuata kanuni hizo. Shenzi type!! 🤣🤣
Yes wazo zuriAhamishwe gereza
Usinipangie wala kunifundisha cha kuandika tuliaHawajakanusha bali wamesema walimshughulikia kwa mujibu wa taratibu za Magereza. Soma barua uelewe acha kukariri mkuu.
Kule magerezani hata constable wa ngazi ya chini anaitwa BWANA MKUBWA. hii tabia hata kwenye biashara za watu kama madaladala wanaiendeleza kwani hawalipi nauli. Mtu ununue coaster lako, utie mafuta, oil n.k mtu aje apande bure. Inakera sana, halafu wanataka wakae kwenye siti.VAR zinahitajika katika hili....
Ukiacha sakata la Lissu, MAGEREZA hawana haki kwa MAHABUSU wasijitetee kwa LISU wanayofanya kwa mahabusu wasio na mawakili ni makubwa kuliko haya ya LISU.
Waache UONEVU na UPENDELEO.
Rubbish kwa hiyo wanabishia camera
Nilipoangalia hiyo signature tu, na hamu ya kusoma huo utumbo imekata.Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Magereza, Elizabeth Mbezi kupitia ukurasa wq Instagram wa jeshi hilo leo Agosti 2, imetetea pia uvaaji wa kininja wa askari magereza wanaomsindikiza Lissu.
View attachment 3428247
View attachment 3428249
Mwenye kapicha mjongeo tufanye tathimini.Ngoja ningojee summary, barua ni ndefu
Akili yako haina akili. Wewe unaona mtu kupigwa ni haki? Imeandikwa kwenye sheria gani unatakiwa upigwe na jeshi la magereza au polisi? INAONEKANA HUJUI HAKI YAKO YA MSINGI. Total ignorant and stupid imbecile, Nyie ndio mnaofanya watanzania waonekane mazuzu.Umesema who is Tundu Lissu, ina maana hadi leo hujui ni nani? Mwambie mama yako Samia aruhusu uchaguzi wa haki, uone. Tukimpeleka Samia mahabusu kwa makosa ya utekaji, ubakaji, ulawiti, na mauaji ya watu wasio na hatia utaridhia akisukumwa aanguke chini? Toa upumbavu wako huko. Haki iwe kwa kila mtu, hao Magereza hawajui wanachofanya......Wanabisha wakati ukweli umeonekana. Stupid!Tumezoea wanapiga wafungwa na mahabusu mpaka makofi, sasa Lissu kusukumwa tu wanaba msamaha, who is Lissu 🤣
🌈Safi kabisa anatakiwa afuate kanuni za ulinzi za Jeshi la Magereza akileta ubishi wanamlazimisha kufuata kanuni hizo. Shenzi type!! 🤣🤣
stupid magereza, dalili za kukaidi kutorudi Ukonga? Video inaonesha kukaidi? mpuuzi huyu takatakaNgoja ningojee summary, barua ni ndefu
Hata paka wetu home amekuzidi ustaarabu!!nitukane na Mimi!Safi kabisa anatakiwa afuate kanuni za ulinzi za Jeshi la Magereza akileta ubishi wanamlazimisha kufuata kanuni hizo. Shenzi type!! 🤣🤣
takataka kama hizi usijibizane nazo, mimi jitu hili nilili block zamani sanaAkili yako haina akili. Wewe unaona mtu kupigwa ni haki? Imeandikwa kwenye sheria gani unatakiwa upigwe na jeshi la magereza au polisi? INAONEKANA HUJUI HAKI YAKO YA MSINGI. Total ignorant and stupid imbecile, Nyie ndio mnaofanya watanzania waonekane mazuzu.Umesema who is Tundu Lissu, ina maana hadi leo hujui ni nani? Mwambie mama yako Samia aruhusu uchaguzi wa haki, uone. Tukimpeleka Samia mahabusu kwa makosa ya utekaji, ubakaji, ulawiti, na mauaji ya watu wasio na hatia utaridhia akisukumwa aanguke chini? Toa upumbavu wako huko. Haki iwe kwa kila mtu, hao Magereza hawajui wanachofanya......Wanabisha wakati ukweli umeonekana. Stupid!